Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, March 7, 2015

TANZIA: MBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA YAKE




Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Mohamed Azzan.

Mbunge wa Kinondoni, Mheshimiwa Idd Mohamed Azzan anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake, Azzan Mohamed kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Kinondoni (Kwa Dr. Mvungi).

Msiba upo Magomeni Makuti, Mtaa wa Somanga na mazishi yatafanyika leo saa saba mchana katika makaburi ya Kisutu.

0 comments:

Post a Comment