Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

OFISI YETU DAR ES SALAAM-MAKAO MAKUU [ OUR OFFICE-DAR ES SALAAM HQ]

Dk Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic ninakukaribisha sana katika clinic yetu iliyopo Mbezi Afrikana njia ya Salasala hapa jijini Dar es Salaam Tanzania. Tunakukaribisha wewe unayesumbuliwa na magonjwa sugu na wewe unahitaji ushauri. Ofisi zetu zipo wazi wakati wote isipokuwa siku ya Jumamosi. Mlete mgonjwa naye atatibiwa na kupona. Kwanini uteseke na kupoteza muda wako wakati tiba zinapatikana The Fadhaget Sanitarium Clinic...!!!

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC NI KIMBILIO LA WALIO WENGI NA NI MKOMBOZI WAKO KWA TIBA BORA NA UHAKIKA
Baadhi ya mashine na kompyuta zinazotumika katika utafiti na kmpima mgonjwa


Tupigie kwa ushauri
+255 712 705 158  | +255 757 931 376 | +255 787 705 158 | +255 757 505 158
+255 774 505 158 | +255 787 505158
DR. Fadhili Emily

Dk. Fadhili Emily - ofisini


Makao Makuu ya The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Afrikana njia ya Salasala. Ghorofa unaloliona ni jeno la The Fadhaget SanitariumClinic litakaloanza kutumika hivi karibuni
Dk. Fadhili Emily


MAENDELEO YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC HAPA DAR ES SALAAM















2 comments:

  1. hongera sana dr fadhili kwa huduma yako namie nategemea muda sio mrefu nitakuja kupata huduma ya fadhaget

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Daktari.Karibu www.ngarakwetu.blogspot.com

    ReplyDelete