Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, April 14, 2013

ANASTAZIA MALYA APATA UJAUZITO BAADA YA KUTUMIA DAWA KUTOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC


Mimi ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa sinza dare s Salaam, nimeugua kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio. Nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mengi sana yaliyonisababishia kutopata ujauzito, nilikaa na mume wangu zaidi ya  mila saba bila mafanikio mpaka hatimaye mwanangu kuniacha. Nimehangaika hospitali nyingi za kiserikali nikaambiwa

1. Nina uvimbe wa kizazi (Fibroid),
2. Tatizo la kuziba mirija ya uzazi na una maji (Hydrosuphix)
3.  Figo kushoto ina mawe (CaCO3).
4. Vidonda vya tumbo (Ulcer)
5. Moyo
Nimehangaika hospitalinyimgi bila mafanikio, nimejaribu kwenda katika tiba mubadala nikawa naandikiwa madawa ya gharama kubwa na nimetumia hizo dawa bila ya mafanikio. Nimekuwa nikiwaambia ninachoumwa bila ya kupimwa wananipa tu dawa.

Anastazia Malya akiwa katika ofis ya The Fadhaget Saniutarium Clinic

Kwakweli nimelipa hela nyingi mpaka nikauza vitu vya ndani, nikitafuta ujauzito ikashindikana, lakini sikukata tamaa; siku moja nilikuwa nikisikiliza Redio ya Praise Power, nikasikia kipindi cha afya kilichokuwa kikiendeshwa na Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic, nikasikiliza vizuri nikagundua kile alichokuwa akizungumzia kilikuwa kikinigusa nikaona ngoja nikafike, maana alieleza anapopatikana, kiukweli baada ya kufika pale sikuamini, nilipimwa nikaona mwili mzima wangu wote kwa yale yaliykokuwa yakinisumbua. Nilifurahi sana na huduma yao, kwani hata hospitali za kawaida walinieleza hay ohayo ila wao walinipima kwa kutoboa damu yangu, ila The Fadhaget Sanitarium Clinic walinipima kwa kutumia kompyuta kwa picha bila choo wala mkojo wala damu. Kama ni uvimbe niliona kwa picha utumbo, figo, moyo, mirija ya uzazi, mapafu, maini.

Kwa kweli nilijawa na amani nikawa namuomba Mungu kimoyomoyo basi hata dawa zinifae tu jamani. Mungu ni mwaminifu Dk. Fadhili Emily alinishari na kunitia moyo akanambia utapona, nikazidi kufarijika.

Hakika ndani ya miezi miwili nikapata UJAUZITO kupitia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic, nilifurahi sana nikashindwa kujizuia naikaamua kufunga safari mpaka ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic kutoa shukrani zangu.

YALIYONIPATA KATIKA UJAUZITO
Wakati ujauzito wangu umetimia miezi miwili, kuna dalili tofauti nilizihisi chini ya kitovu, nilisikia vichomi, nikaanza kuona damu, miguu ikavimba du!!!!, nikakumbuka Dk. Fadhili Emily alisema nifike hospitali ambayo iko karibu na ninapoishi nikapimwe.

Kwa kweli nilienda katika hospitali za kawaida, majibu niliyopewa kuhusu ujauzito hayaelezeki, niliambiwa ujauzito umetoka, nikaambiwa nisafishwe, kwa weli nilikumbuka kipimo nilichopima kwa Dk. Fadhili Emily, nikakataa kusafishwa nikaenda kwa Dk. Fadhili Emily, akanipima akanambia mimba ipo haijatoka ila mtoto amechoka sana. Alinipa dawa na akanishauri, nikafuatilie ushauri wake.  Na mpaka sasa hivi nazungumza nina ujauzito wa miezi 8, mimba ipo na mtoto anacheza vizuri.

Ninawashauri akina mama wenzangu kuwa msikate tamaaya maisha, tumehangaika yatosha, nendeni The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Beach Tangibovu utapimwa, utashauriwa vizuri na utatibiwa. Dawa zipo.

ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam






SALOME FAUSTINE AMSHUKURU DK. FADHILI EMILY KWA KUPATA MTOTO BAADA YA KUPONA UVIMBE KATIKA UZAZI

Salome Faustine ambaye alikuwa na tatizo la kupata mimba kutokana na uvimbe katika kizazi kwa muda wa miaka 6, baada ya kutumia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic aliweza kupata mimba na sasa amejifungua mtoto. aliweza kufika ofisi kwetu na kutupongeza kwa huduma zetu.

Faustine akisalimia na baadhi ya wahudumu baada ya kupata ujauzito
 Dk. Fadhili Emily akiwa na mtoto wa faustine baada ya kujifungua. Picha hii ilipigwa kipindi Salome Faustine alitembelea clinick hii kumpongeza Dk. Fadhili Emily kwa sawa yake uliyomponya uvimbe katika kizazi
 Dk  Dk. Fadhili Emily akiwa na Salome Faustine
 Wadumu wakiwa na mtoto wa Salome Faustine



GARI LA DK FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LIKIWA LIMETOKA MKOA WA TABORA

Dk. Fadili Emily alifunga safari hadi mkoa wa Tabora kwaajili ya kutafuta dawa mbalimbali. Safari yake ilikuwa ndefu sana kwa lengo la kukusaidia wewe unayesumbuliwa na magonjwa mbalimbali.
Karibu wewe unayesumbuliwa na wewe mwenye mgonjwa upate dawa zenye kuponya.
 gari likiwa katika Makao Makuu ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

 


DADA ALIYETESEKA KWA KANSA YANGOZI KWA MUDA MREFU APONA


Kwa uhakika ugonjwa huu wa ngozi ulinitesa sana zaidi ya mika 7. Nilipelekwa hospitali nyingi bila ya mafanikio na wakajaribu kunipima na ugonjwa haukuweza kuonekana. Baada ya kuona siponi nilienda kwa waganga wa kienyeji au wa jadi bila mafanikio, ilifika hatua nikakata tamaa.

Niliteseka sana ilifika kipindi wadogo zangu na ndugu zangu wakawa wananinyanyua na kuniweka juani na kunigeuza geuza, maana ilifika hatua siwezi kusimama wala kujigeuza kutoka na vidonda vilivyotapakaa katika mwili wangu. Ilifika kipindi inzi wakawa kelo kwangu kwani walikuwa wakinifuata kutokana na harufu mbaya niliyokuwa nayo.

Matumaini ya kupona yakaanza kupotea. Kwahiyo nikwa ni mtu wa kutolewa nje na kulazwa kwenye sponji kasha natandikiwa neti ya mbu (chandarua) mchana kwaajili ya inzi wasiguse mwili wangu. Niliumia sana na hata nikikaa kwenye kiti nje nikawa natundikiwa chandarua.

Baada ya muda baba yangu akasikia Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget sanitarium Clinic  katika kipindi radio ya Praise Power akieleza matibabu ya magonjwa mbalimbali. Baba aliamua kunipeleka katika kituo cha The Fadhaget sanitarium Clinic   Mbezi Beach hapa jijini Dar es Salaam kutibiwa. Baada ya kupata matibabu ni mwezi mmoja tu kilio change kiliweza kunyamazwa na huduma ya Dk. Fadhili Emily, niliweza kupona na sina maumivu yeyote yale.

Kupitia dawa za The Fadhaget sanitarium Clinic   nimepona, na nimashukuru sana Baba yangu na Dk. Fadhili Emily kwa huduma yao juu ya maisha yangu. Uzalendo ulinishinda kwa kuwa sasa niliweza kumtembelea Dk. Fadhili Emily nyumbani kwake kwa kumshukuru kwa huduma yake, kwani amenitoa mbali

Unaweza kuangali picha zangu hapo chini.


KABLA YA KUPONA

Dada akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi

BAADA YA KUPONA
 Dada aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi akiwa huru na mateso hayo ya ngozi aliyokuwa nayo kwa muda wa zaidi ya miaka 7

Mungu ni mwema

UNAJUA KUWA MAUA YA YERUSALEM NI DAWA?

Tutawaletea faida za kutumia maua ya Yerusalem kama dawa katika mwili wa bindamu. Endelea kutembelea blogu yetu hii kwani utaelimika




Saturday, April 13, 2013

ZIARA YA DK FADHIL EMILY WA SANITARIUM CLINIC JIJINI ARUSHA

Tumefanya ziara fupi jiji la Arusha Tanzania. Watu wamependa huduma zetu, wamepimwa, wametibiwa. Wakazi wa jiji la Arusha wameamua kutupatia nyumba ya kufanyia huduma zetu na hatutakuwa tukifikia hotelini tena kufanya huduma zetu kama mwanzo tulivyokuwa tukifanya.

Kuanzia tarehe 01 Mei 2013 huduma ya The Fadhaget Sanitarium Clinic itapatikana jijini Arusha katika mtaa wa Stand Ndogo, karibu na geti la nyuma la kuingilia la hospitali ya Seliani. Utaona bango kubwa sana limeandikwa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu
+255 712 705158
+255 757 931376
+255 787 705158
+255 787 505158

ANGALIA ZIARA YETU KATIKA PICHA

 Dk. Fadhil Emily akiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha maeneo ya Stand Ndogo Arusha
Dk Fadhili Emily akihudumiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha
   Dk. Fadhil Emily na mhudumu wa hoteli ya AM wakionyesheana meseji juu ya wagonjwa walivyofurahia huduma ya Dk Fadhili Emily

 Msaidizi wa Dk Fadhili Emily, bwana Tryphone Kagoma akihudumiwa chakula na mhudumu wa hotel ya AM-Arusha

 Eneo la Arusha