Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, April 13, 2013

ZIARA YA DK FADHIL EMILY WA SANITARIUM CLINIC JIJINI ARUSHA

Tumefanya ziara fupi jiji la Arusha Tanzania. Watu wamependa huduma zetu, wamepimwa, wametibiwa. Wakazi wa jiji la Arusha wameamua kutupatia nyumba ya kufanyia huduma zetu na hatutakuwa tukifikia hotelini tena kufanya huduma zetu kama mwanzo tulivyokuwa tukifanya.

Kuanzia tarehe 01 Mei 2013 huduma ya The Fadhaget Sanitarium Clinic itapatikana jijini Arusha katika mtaa wa Stand Ndogo, karibu na geti la nyuma la kuingilia la hospitali ya Seliani. Utaona bango kubwa sana limeandikwa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu
+255 712 705158
+255 757 931376
+255 787 705158
+255 787 505158

ANGALIA ZIARA YETU KATIKA PICHA

 Dk. Fadhil Emily akiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha maeneo ya Stand Ndogo Arusha
Dk Fadhili Emily akihudumiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha
   Dk. Fadhil Emily na mhudumu wa hoteli ya AM wakionyesheana meseji juu ya wagonjwa walivyofurahia huduma ya Dk Fadhili Emily

 Msaidizi wa Dk Fadhili Emily, bwana Tryphone Kagoma akihudumiwa chakula na mhudumu wa hotel ya AM-Arusha

 Eneo la Arusha







0 comments:

Post a Comment