Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, August 29, 2012

MATUMIZI BORA YA SIMU ZA MKONONI


Baada ya kufanya utafiti thabiti wa kisayansi uliofanywa na daktari wenu Fadhili Emily, imegundulika kuwa simu za mikononi zisipotumika vizuri ni hatari kubwa sana kwa afya ya mwanachama.

Taarifa tulizozipata pande tofauti tofauti za dunia zinaeleza kuwa simu ya mkononi isipotumiwa vema yaweza kusababisha magonjwa mengi sana kwa mwanadamu na ulemavu wa viungo, hasa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume pia. Baadhi ya madhari hayo ni kama:

  1. Saratani ya ubongo
  2. Upungufu wa nguvu za kiume au kike.
  3. Ufaji wa gamete za kiume.
  4. Virusi vya mafua.
  5. Ugonjwa wa kuvimba kwa macho (Micro Lens Radiation)
  6. Kupanuka kwa mishipa ya moyo.
  7. Kupooza (Kiharusi).
Dk. Fadhili Emily
Taarifa hizi zimetafitiwa katika vituo maalumu vya mionzi ya simu na minara iliyoko.
  1. Japan (kituo cha Iroshima na Nangasak)
  2. Marekani (kituo cha Meleland)
  3. Shirika la Afya Duniani (WHO) (Kupitia mtandao wa kituo cha Televisheni ya CNN nao wamezungumza vema kuhusu namna ya simu za mkononi zaweza kukuadhiri mtu kama hutatumia ipasavyo (www.who.radiation.com))

Hayo yote yanatutaayaridhishia tuwe makini katika kutumia simu zetu. Mmoja kati ya mwendelezo wangu na vipindi katika radio ya Praise Power FM vya kila siku za Jumanne usiku saa 2:00 na Alhamisi saa 2:00- 3:00 usiku. Kiukweli huwa nazungumzia mambo mengi yawezayo kutuokoa kiafya. Na juzi juzi nimezungumza kwa kina kuhusu maswala ya simu na minara na shuhuda za pande tofauti tofauti za dunia.

Nilieleza wazi jinsi ya tunawezavyo kujikinga na mionzi ya simu za mkononi, tunaweza kutambua simu za mkononi kuwa zina mionzi au la kwa kutumia silio namba (serial number) zake kwa kubonyesa *#06# moja kwa moja itatokea silio namba ya simu yako, na simu zilizo nyingi huanza na 35------------00 na kuendelea, lakini nimewapa angalizo kwa kwa kuhesabu namba kuanzia  kushoto yaani 3 ndo 1 na 5 ndo 2 tarakimu au namba ya saba na ya nane 7 na 8 zinatakiwa ziwe na 0 na 0 hapo inahidhinisha kuwa simu yako iko vyema haina mionzi mibaya iwezayo kukuharibu, ila ikiwa ya saba ni 0 na nane ni 2 za mionzi basi simu yako ina asilimia 2 za mionzi, bali pia ya saba ikiwa na 2 na nane ni 0 basi simu yako ina asilimia 20 za mionzi na ni hatari sana kama utatumia simu hiyo kwa kupiga au kupokea karibu na:
  1. Radio
  2. Mitambo ya nishati ya umeme
  3. Garini au ndege na vyombo vya usafiri vyote vitumiavyo nishati ya umeme
Hii ni sababu kwamba vyombo vya kutumia nishati ya umeme vingi vina nishati ya umeme iitwayo IONIC (Anayoiki) na simu za mikononi zina NON-IONIC. Hivyo ukiwa unatumia simu yako katika upigaji wa kawaida ili simu ya umpigiaye iweze kuita lazima ifume mionzi katika kifaa kilichoko katika mnara ulio karibu na wewe kiitwacho BOOSTER (Busta). Baada ya hapo mawimbi yatabustiwa na kutumwa katika satellite (setelaiti) iliyoko angani kilometa 38 kutoka duniani (Channel Twelve kwa sekunde chache sana hivyo kutumwa kwa umpigiaye ndipo simu yake itaita.Hatua na mfumo huo ni mrefu , lakini unafanyika kwa dakika chache sana.

Hivyo ikiwa utatumia simu yako karibu na mnara mtambo unapowekwa sikioni inachoma ubongo na inaharibu kifaa kilicho katika kichwa cha mwanadamu kiitwacho Head Fortum ambacho kwa kazi yake kipo toka uumbaji wa Mungu huhusika na:
  1. Kuota ndoto
  2. Kufanya maamuzi na mipango mbalimbali.
Kwahiyo simu ikikuadhiri sehemu hiyo basi hata ndoto zako zinakuwa chafu, maamuzi mabaya au kusababisha saratani ya ubongo.

Kifaa hicho pia kinafanya kazi sambamba na tezi ya Pituitary na Grand ya Adrenali ambazo zinahusika na matendo ya hiyari na yasiyo ya hiyari. (Homoestassis homon) ndiyo maana vijana wengi wanalia nguvu za kiume; kwa kutopata mtoto, kichwa kuumwa, ubongo kuchoka na hata mwili kuwa dhaifu:

Kwa wale walioadhirika au ndugu yako ameadhirika, basi usikate tamaa, The Fadhaget Sanitarium Clinic tunayo mashine ya kompyuta ya kuangalia umeadhirika nini kwa kiwango gani, simu imekuadhiri na majibu yatatoka na tutakuandikia dawa. Dawa zipo ni fani yetu rafiki karibu.

Wasiliana nasi kwa simu
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158

Na Dk. Fadhili Emily