Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, March 8, 2015

MARRY MWATI MALKIA MPYA WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA


Katika harakati za kusambaza injiri kwa njia ya uimbaji hapa Tanzania kumekuwepo na waimbaji 
wengi walioweza kufanya vizuri kama kina Upendo nkone ,Rose Mhando na wengine wengi..
Lakini kwa sasa tunamlet kwenu Mwanamke mwingine mwenye kipaji kikubwa ambaye tunaweza kusema ni malkia mpya wa muziki wa injiri.
Marry Mwati anatokea kanda ya ziwa mkoa wa shinyanga katika wilaya ya Kahama na tayari kasha weza kurecord album nzima ya audio na video na kwa sasa anasubiri kuingiza sokoni.

Kama wewe ni mdau wa muziki wa injiri album hii inauzwa jumla kwa wasambazaji kama unaweza kusambaza waweza wasiliana nasi kwa namba 0767 511729 | 0766 982982 ilituweze kuona ni njisi gani unapata nakala yako huko uliko pia kwa wauzaji wa lejaleja pia waweza ipata kazi hii au kutumiwa mpaka ulipo kwa wasiliana nasi tu.
Bofya hapa chini uweze kuitazama video ya wimbo uliobeba album hii unaokwenda kwa jina la kusanyiko.

0 comments:

Post a Comment