Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, May 4, 2015

RUMAFRICA INAZIDI KUANDAA KURASA ZA NDANI ZITAKAZOKUWA ZIKITOKA KATIKA GAZETI LA RUMAFRICA GOSPO Online MAGZINE

Rumafrica bado iko katika maandalizi ya kurasa zitakazokuwa zikitokea katika gazeti lake la Rumafrica Gospo Online Magazine hivi karibu, na leo ingependa kukuonyesha page mbili zitakazo kuwa zinaonyesha albamu za waimbaji wa gospel na mawasiliano yao na pia page kwaajili ya shuhuda na mahubiri kutoka katika makanisa mbalimbali. Kama ungependa kazi zakona huduma yako ionekanana watu wengi sana kwa njia ya mitandao basi wasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523






0 comments:

Post a Comment