Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, May 30, 2015

P FUNK AMESHAJIPATIA KADI YA TAMASHA LA FLORA MBASHA



Tamasha hili kubwa ambalo litafanyika Ubungo Plaza limedhaminiwa na THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC. Msikose kufika muone Flora Mbasha anavyomtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji na kutambulisha bendi yake ya LIVE


0 comments:

Post a Comment