Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, May 25, 2015

FADHAGET MUSIC STUDIO KUTOA OFFER YA KUREKODI

Katika kuhakikisha kuongeza ajira kwa vijana hapa nchini fadhaget Media Ltd
ambao pia ni wamiliki wa studio za kisasa za Fadhaget Music record zilizopo
mbezi Beach Africana.
Wanakuletea offer ya kurecord Muziki kwa kiwango cha gharama za kitanzania Tsh 50,000/= tu kwa single moja.
wahi sasa uweze jipatia nafasi hii na kumubuka offer hii ni ya wiki mbili na usajiri unafanyika katika ofisi za Fadhaget Media Ltd jijini Dar es salaam maeneo ya Mbezi Beach Africana.
kwa mawasiliano waweza wasiliana nao kwa namba 0766 982982.


0 comments:

Post a Comment