Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, May 3, 2015

KANISA LA TAG BUNJU A WASHEREKEA SIKUKU YA CMF

Mch: Ibrahim Masasi "mchungaji kiongozi kanisa la TAG-Bunju Dar es Salaam

Leo katika kanisa la TAG -Bunju "A"  wamesherekea sikuku ya wababa kanisani hapo ikiambatana na  huduma ya uimbaji kutoka kwa waimbaji mbalimbali wa muziki wa injiri hapa nchini.
sherehe hizo zimefika kilele leo baada ya wiki nzima wakiwa na mahubiri ya nje ya kanisa hilo yakiongozwa na mtumishi wa mungu Mch; Crispin Madembwe.

sikuku hizi za Christian Mission Fellowship (CMF) zinaazimshwa kila mwaka na kwa siku ya leo wababa ndiyo walikuwa kila kitu katika kutoa huduma.

Tazama picha za matukio







Choir ya Wababa ya TAG -Mbuju "A" wakiimba ndiyo waliokuwa na shughuli

Mch:Crispin Madembwe "Ndiye aliyehubiri"


Mwimbaji wa nyimbo za Injiri Brayan Kibona akihudumu kanisani hapo


Mwimbaji Paul Mazembwe akitoa huduma iliyosisimua watu

Wahumini wa kanisa la TAG -Mbuju "A"

Choir ya kanisa la TAG -Bunju"A" wakitumbuiza

Mchungaji Crispian akivuta uwepo wa Bwana kabla ya kupanda Madhabahuni

Yaani ilipendeza kweli


0 comments:

Post a Comment