Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Tuesday, May 26, 2015

MKALI WA CAMERA - DAVID NGAYOMA AFARIKI DUNIA JANA USIKU

R.I.P David Ngayoma
Akiwa alikuwa  ni mmoja wa wataalamu wa Camera Operaror katika kampuni ya Sahara Media group(Star tv) Bw.David Ngayoma amefariki dunia jana katika Hosptal ya Rufaa ya Bugando baada ya kusumbuliwa na maralia na Plesha kwa muda mfupi iliyopelekea mauti yake. 
Tutamkumbuka kwa mengi aliyoweza kuyafanya hasa akiwa na kampuni ya Sahara Media pia nimeshikwa na simamnzi kubwa kwani ni mmoja ya watu wakionikaribisha vyema sahara media na tukishirikiana kwa masuala ya kijamii na kifamilia kama rafiki na kaka yangu wa hiari,amekuwa mwalimu wangu wa mabo mengi hasa camera na utengenezaji wa makala katika workshop mbalimbali zikiwemo zile za DW. sisi tulimpenda lakini mungu ampenda zaidi jina la Bwana lihimidiwe R.I.P Brother, na msiba wake unataraji kufanyika nyumbani kwa kaka yake mabibo jijini dar es salaam hivyo endelea kusoma blog hii kwa uptodates za msiba huu.
NaLonely L.Nzali

Marehemu David Ngayoma enzi za Uhai wake

0 comments:

Post a Comment