Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, May 30, 2015

DR. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC AKIWA SAFARI SWEDEN KWAAJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA TV YAKE YA TV51

Watanzania mapinduzi yamepamba moto kupindua mazoea tuliyozoea kuona katika TV zetu. Muonekano mpya, watangazaji waliosomea utangazaji kwa kiwango cha juu, waongozaji wa kimataifa vipindi vya TV, nyimbo za dini na za kijamii zenye muonekano tofauti na tulivyozoea kuona katika luninga zetu, vifaa vya kisasa na vyenye ubora wa picha na sauti kutumika katika luninga mpya ya TV51 ndani ya Mbezi Beach Dar es Salaam Tanzania.
Dr Fadhili Emili wa The Fadhaget Sanitariu Clinc Mbezi Beach Dar es Salaama Tanzania akiwa Sweden.

Dr. Fadhili Emily ambaye ni Mkurugenzi wa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC ambayekwa sasa  yuko nchini  Sweden katika harakati za kununua vifaa vya kisasa vya TV yake ya TV51, amesema anamshukuru Mungu kwa kuweza kumfanikisha kusafiri salama kutoka Tanzania hadi Sweden kwa zoezi zima la kuinua uchumi wa Tanzania kwa kupitia TV yake ambayo itakuwa na vipindi vipya kabisa ambavyo havijawahi kuonekana katika vituo vyetu vya hapa nchini.

Dr. Fadhili Emily aliyevalia Tshirt nyekundu

The Fadhaget Sanitarium Clinic ambayo imethamiria kuondoa tatizo la watu kukosa ajira, na ndio maana ikaona ni vyema kuanzisha TV ambayo itaajiri watu wengi sana na pia watu wataweza kuonyesha taaluma zao, viapaji vyao, biashara zao, huduma zao nk kwa kupitia vipindi mbalimbali vilivyobuniwa kwa ufasaha na ustadi. Kwahiyo Watanzania tutegemee mambo makubwa sana kutoka THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC.
Dr Fadhili Emily
 Dr Fadhili Emily
 Dr. Fadhili Emily
  Dr. Fadhili Emily
  Dr Fadhili Emily

0 comments:

Post a Comment