Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, May 11, 2015

MAFURIKO YAACHA ATHARI KUBWA KWA WAKAZI WA JANGWANI, DAR


|
Hivi ndivyo hali halisi ilivyo katika eneo hilo.
Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Charambe, Bi. Mwajabu Hamad ambaye ni mmoja wa waathirika wa mafuriko akiwa nje ya nyumba yake.


Kitanda na baadhi ya vyombo vikiwa vimesalia.


Mkazi wa mtaa huo (jina halikujulikana mara moja) akitoa malalamiko dhodi ya serikali kutowajali.


Moja ya nyumba ambayo ni makazi ya watu ikiwa katikati ya maji.


Mkazi wa eneo hilo akiosha vyombo kabla ya kuvihifadhi.


Makazi ya watu waliolombia kwa kujinusuru na mafuriko yakiwa katikati ya maji na matope.
Moja ya nyumba ikiwa imezingirwa na maji pamoja na matope eneo la Jangwani.


Msongamano mkubwa wa magari unaosababishwa na kuharibika kwa miundombinu ya barabara kama unavyoonekana.
Wakazi hao walihamisha vyombo kutoka kwenye tope zito kwa ajili ya kuvihifadhi sehemu salama.
Makazi yakiwa yameharibiwa vibaya.

Shughuli ya kuhamisha vitu ikiendelea.

Maji yakiendelea kupungua taratibu eneo hilo.
Eneo la Jangwani lililokuwa limekubwa na mafuriko likionekana kupungua maji.

Muonekano wa Daraja la Jangwani baada mvua kupungua.

(PICHA NA BRGHTON MASALI NA DENNIS MTIMA/GPL)

0 comments:

Post a Comment