Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, May 11, 2015

RAIS WA ZAMANI WA UTURUKI, KENAN EVREN AAGA DUNIA


Kenan Evren enzi za uhai wake.

ALIYEWAHI kuwa Rais wa Uturuki, Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 amefariki dunia jana kwenye hospitali moja mjini Ankara, Uturuki akiwa na umri wa miaka 97.


Kenan alikuwa Rais wa Uturiki mwaka 1980 hadi 1989.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadhaA walinyongwa, maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa.

0 comments:

Post a Comment