Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, May 30, 2015

DR. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC AKIWA SAFARI SWEDEN KWAAJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA TV YAKE YA TV51

Watanzania mapinduzi yamepamba moto kupindua mazoea tuliyozoea kuona katika TV zetu. Muonekano mpya, watangazaji waliosomea utangazaji kwa kiwango cha juu, waongozaji wa kimataifa vipindi vya TV, nyimbo za dini na za kijamii zenye muonekano tofauti na tulivyozoea kuona katika luninga zetu, vifaa vya kisasa na vyenye ubora wa picha na sauti kutumika katika luninga mpya ya TV51 ndani ya Mbezi Beach Dar es Salaam Tanzania. Dr Fadhili Emili wa The...

BLATTER ASHINDA TENA URAIS WA FIFA

Sepp Blatter baada ya ushindi. Blatter akiwa na mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi jana licha ya kukumbwa na skendo za ufisadi....

P FUNK AMESHAJIPATIA KADI YA TAMASHA LA FLORA MBASHA

Tamasha hili kubwa ambalo litafanyika Ubungo Plaza limedhaminiwa na THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC. Msikose kufika muone Flora Mbasha anavyomtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji na kutambulisha bendi yake ya LI...

TUZO YAMTIA ‘UCHIZI’ IRENE PAUL!

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ amezua mshangao baada ya kupiga mayowe huku akirusha mikono kushangilia tuzo aliyopata jambo lililozua miguno kwa waliomshuhudia. Staa wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ akitahayari wakati wa kuchukua tuzo. ‘Katukio’ hako ‘amazing’ kalishuhudiwa na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Jengo la Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar kulikokuwa na sherehe ya utoaji Tuzo za...

Wednesday, May 27, 2015

MUONEKANO MPYA WA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, NEEMA GASPER

...

LIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-2

Wiki iliyopita tulianza kupeana elimu juu ya tatizo la kuota kijinyama katika njia ya haja kubwa (bawasiri). Tuliangalia chanzo cha ugonjwa huu na nikawapa ushauri kwamba ukiona una tatizo hilo ni vema ukawa huru maana ni ugonjwa wa kawaida na unatibika kama magonjwa mengine. Hivyo ni vema ukawahi katika vituo vya tiba ili upate matibabu mapema na kuepukana na adha za ugonjwa husika. Leo tutaangalia dalili za ugonjwa huu wa bawasiri. Kwa kuwa...

TIKETI ZA TAMASHA LA FLORA MBASHA ZINAPATIKANA SASA

...

DAKTARI: MBONI MASIMBA ILIKUWA AFE

Imelda mtema Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa ya TBC1, Mboni Masimba, amejikuta akiangua kilio kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, alipotembelea wodi ya wazazi na kusimulia jinsi ambavyo daktari alimweleza kuwa ilikuwa kiduchu tu afe wakati wa kujifungua hivi karibuni. Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show, Mboni Masimba akihojiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili....

MKALI WA MOVIE ZA MAPIGANO TANZANIA

...

Tuesday, May 26, 2015

MKALI WA CAMERA - DAVID NGAYOMA AFARIKI DUNIA JANA USIKU

R.I.P David Ngayoma Akiwa alikuwa  ni mmoja wa wataalamu wa Camera Operaror katika kampuni ya Sahara Media group(Star tv) Bw.David Ngayoma amefariki dunia jana katika Hosptal ya Rufaa ya Bugando baada ya kusumbuliwa na maralia na Plesha kwa muda mfupi iliyopelekea mauti yake.  Tutamkumbuka kwa mengi aliyoweza kuyafanya hasa akiwa na kampuni ya Sahara Media pia nimeshikwa na simamnzi kubwa kwani ni mmoja ya watu wakionikaribisha vyema...

Monday, May 25, 2015

FADHAGET MUSIC STUDIO KUTOA OFFER YA KUREKODI

Katika kuhakikisha kuongeza ajira kwa vijana hapa nchini fadhaget Media Ltd ambao pia ni wamiliki wa studio za kisasa za Fadhaget Music record zilizopo mbezi Beach Africana. Wanakuletea offer ya kurecord Muziki kwa kiwango cha gharama za kitanzania Tsh 50,000/= tu kwa single moja. wahi sasa uweze jipatia nafasi hii na kumubuka offer hii ni ya wiki mbili na usajiri unafanyika katika ofisi za Fadhaget Media Ltd jijini Dar es salaam maeneo ya Mbezi...

Sunday, May 24, 2015

UBONGO WA KAJALA WAPATA TATIZO

Imelda mtemMaskini Kajala! Ndivyo unavyoweza kusema ukisikia mkasa wa staa wa kiwango cha juu kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, ambaye anadaiwa kwa hivi sasa hayuko sawa kiafya baada ya kupigwa chupa kichwani akiwa katika shoo ya kumchangia mke wa msanii Mabeste iliyofanyika New Maisha Club, Masaki jijini Dar. Kajala Masanja akionekana na jeraha usoni kipindi ambacho alikua amepigwa chupa. TUJIUNGE NA CHANZO Chanzo makini...

NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!

Gabriel Ng’osha Shika adabu yako! Njemba mmoja ambaye jina halikufahamika ameshikishwa adabu na wananchi wenye hasira kali baada ya kutembezewa kichapo ‘hevi’ alipokwapua simu ya abiria mwenzake. Kijana huyo aliyedaiwa kuwa kibaka akiwa chini ya ulinzi. Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mtaa wa Kongo-Kariakoo jijini Darndani ya basi la UDA ambapo kijana huyo alidaiwa kukwapua simu hiyo. Akiwa chini ya ulinzi baada ya kukwapua simu....

HUU NI UKURASA AMBAO UTAKUWA KATIKA GAZETI LA RUMAFRICA GOSPO Online MAGAZINE UKIONYESHA MASWALI NA MAJIBU KUTOKA KATIKA BIBLIA

Tembelea www.rumaafrica.blogspot.com kujua mengi kuhusu gazeti hili ...

AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA

WATU watatu wamekufa papo hapo huku wengine 28 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Feo walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Songea mkoani Ruvuma kupinduka na kutumbukia mtoni leo asubuhi. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shamwenga, Kata ya Inyara mkoani Mbeya....

MBUNGE WA SOMALIA, YUSUF DIRIR AUAWA KATIKA SHAMBULIO MOGADISHU

Gari alilokuwemo Yusuf Dirir. MBUNGE wa Somalia, Yusuf Dirir ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Mogadishu jana.Wanausalama wameeleza kuwa Yusuf Dirir aliuawa baada ya gari lake kushambuliwa na wanamgambo wanaodhaniwa kuwa wa Kundi la Al Shabaab. Wapiganaji wa Al Shabaab. Wafanyakazi wengine watatu wa Wizara ya Usafirishaji nao pia waliuawa katika shambulio lingine lililotokea jana.Takribani wabunge watano waliuawa na Kundi la Al Shabaab mwaka...

KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku watu zaidi ya 100,000 wakiwa wameihama nchi hiyo...

JOHARI AJIFUNGUA KWA SIRI

Brighton Masalu Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ UBUYU WAMWAGWA Mwandishi wetu...

KIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, DAR‏ NA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC WADHAMINI ZOEZI ZIMA

Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523 Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akipongezwa meneja wa Jengo la Wazazi, Sister Amina Mwakuluzo kwa moyo aliyouonyesha. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda....