Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, April 13, 2015

VIFO KATIKA AJALI YA BASI NA FUSO MORO VYAONGEZEKA

 
IDADI ya vifo vilivyosababishwa na ajali ya basi la Nganga baada ya kugongana uso kwa uso na fuso kisha kuteketea moto jana katika eneo la Iyovi, Ruaha wilayani Kilosa katika barabara ya Morogoro - Iringa imeongezeka na kufikia watu 19. Kamanda wa Polisi Mkoa wa morogoro, Lenard Paul amesema hadi sasa miili sita imetambaulika na mingine bado haijatambulika kutokana na kuharibika vibaya.

0 comments:

Post a Comment