Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Thursday, April 16, 2015

MTANGAZAJI LONELY NZALI ATIMIZA MIAKA 29 LEO

Lonely Leonard Nzali leo tarehe 16 April ilkuwa Birthday yake na wameweza kufanyia sherehe fupi hiliyofanyika nje ya jengo la studio za TV51 zilizopo Mbezi Beach Afrikana nakuuzuliwa na marafiki pamoja na wafanyakazi wenzake akiwemo Mkurugenzi wa TV 51 Dr. Fadhili emily ambaye pia ni mkurugenzi wa Hosptali za Fadhaget sanitarium clinic zilizopo mikoa kumi nchi nzima.

Akizungumza na Bolg hii Lonely nzali anasema  "nafurahi na kumshukuru mungu kuweza kufikisha umri huu maana kuna watu mpaka muda huu ndugu na marafiki atuko nao japo nao walitamani kuendelea kuwepo hapa duniani"
Pia katika upande mwingine amefurahi kuwa na sherehe siku moja Msaani Elizaberth Michael "LULU" ambaye naye amezaliwa siku hii ya leo na pia ni mshabiki wake.

gazeti la online
Lonely Leonard Nzali Akikata Keki

Keki yetu ikiwa na miaka aliyotimiza leo  nzali


Brother From another mother awash Mtenda

Brother Sweetbirth Moja ya wana bodi ya  wakurugenzi TV51

Patrick Nyakatama Muongozaji wa vipindi na Movie Tv51 na Fadhaget Media


nazihesabu keki

Babra wilium TX tb51 akishare love

James Patrick Dereva Tv51 naye alikuwepo

nilipata kushiriki na watoto pia

Mood Effect mmoja ya visual editor TV51


maji yalihusika kama ishara ya kumtakia Happybirthday

maji kwa kwenda mbelee full ku enjoy

wanafamilia wa Fadhaget Media na Tv 51

Macoluv na Barbara wilium walihusika kwa shampen

0 comments:

Post a Comment