
Mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Mwandishi wetu
DAKTARI
wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta
Fadhili Emily, amemnunulia baiskeli ya kubebea mtoto, mpenzi wa Nasibu
Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi pindi
atakapojifungua.
Mfano wa baiskeli aliyitoa Dkt. Fadhili kwa Zari.
Akizungumza
na Risasi Mchanganyiko akiwa nchini Sweden alikoenda...