Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Friday, April 4, 2014

THE FADHAGETI SANITARIUM KUFUNGUA MATAWI MIKOA KUMI (10) TANZANIA

The Fadhaget Sanitarium Clinic imedhamiria kuwafikia Watanzania popote waliopo na ndio maana inafanya jitihada za kufungu matawi kila mkoa. Kwa sasa tayari imeshafungua matawi mikoa 10 hapa nchini Tanzania kwa lengo la kutoa huduma yake ya tiba kwa njia ya mimea na matunda. Watanzania wengi wanateseka na magonjwa mbalimbali na hasa yale yaliyosugu, na wamekuwa wakihangaika kupata tiba bila ya mafanikio. Sasa The Fadhaget Sanitarium Clinic imekufikia wewe Mtanzania uliyekuwa ukijiuliza ni lini utaondokana na tatizo lako la ugonjwa sugu. Watu wengi kwa kupitia huduma yetu wameweza kupona. Tunakukaribisha sana wewe Mtanzania katika ofisi zetu zilizo karibu nawe.

ZAWADI YA KALENDA KWAKO MTANZANIA AMBAYO INAONYESHA BAADHI YA OFISI ZETU








 




Kalenda imetengezwa na
RUMAFRICA
+255 715 851523


0 comments:

Post a Comment