Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, April 26, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC YAFUNGUA TAWI MBEYA

Wakazi wa Mbeya na mikoa ya karibu tunapenda kuwajuza ya kwamba ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic zimefungulia mkoa hapo kwa lengo zima la kutoa huduma ya tiba kwa njia ya matunda na mimea. Baada ya kupokea maombi ya walio wengi wakihitaji huduma yetu nasi tuliona hatuna budi ya kufungua ofisi zetu mkoani hapo. Watu wamekuwa wakisumbuliwa na magonjwa sugu na wengine wamekosa nauli za kufika katika makao yetu makuu Dar es Salaam, baada ya kuona hivyo tukao ni bora kufikisha huduma zetu mkoani hapa

Mbeya tunapatikana mjini karibu na Shule ya Msingi Sisimba au karibu na Mbeya Peak Hotel





0 comments:

Post a Comment