Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, April 28, 2014

JENGO JIPYA LA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LAFUNGULIWA RASMI

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kujenga jengo letu la huduma ya tiba kwa njia ya mimea na matunda hapa Mbezi Afrikana barabara ya Salasala. Jeno hili ni kwaajili tu ya uhudumia Watanzania wenye shida mbalimbali na hasa wenye magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakiwatesa na kusababisha watu kukosa kufanya kazi kwaajili ya ujenzi wa Taifa la Tanzania.

Dr. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic ambaye ndiye mmiliki wa kituo hiki amesema amekuwa akijisikia vibaya sana kuona Watanzania wakitaabika na magonjwa sugu bila ya kufahamu ni wapi wanaweza kujipatia tiba yenye uhakika. Watanzania hawa wamepoteza pesa zao nyingi sana katika maeneo mbalimbali wakitafuta tiba bila ya mafanikio na hii imesababishia hata kukosa chakula nyumbani kutokana na pesa nyingi kupotea kwa manunuzi ya dawa. Hiki kitendo kimemgusa sana Dr. Fadhili Emily na ndio maana akaamua kujenga kituo chake ili watu waweze kufika na kijipatia dawa zeney uhakika katika miili yao.

Tunakukaribisha sana wewe Mtanzania na hata watu wa nchi mbalimbali kufika katika kituo chetu ili kujipatia tiba.

Wasiliana nasi kwa smawasiliano yafuatayo:

P.O.Box 42029,
Mbezi Beach, Afrikana njia ya Salasala, Dar es Salaam, Tanzania
Tunapatikana kwa simu zifuatazo:

+255 712 705 158 | +255 757 931 376 | +255 787 705 158 | +255 757 505 158 | +255 774 505 158 | +255 787 505158

Barua Pepe: fadhaget@gmail.com

Blogu: www.fadhaget.blogspot.com

Pia unaweza kusikiliza Praise Power Radio 99.2FM kila siku ya Jumapili kuanzia saa 11:30 asubuhi mpaka saa 12"30 mchana

0 comments:

Post a Comment