Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Thursday, April 17, 2014

PICHA ZA DR. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KATIKA ZIARA YAKE MKOA MWANZA

Dr. Fadhili Emily ambay amefanyika zawadi kwa walio wengi na hasa waliotumia dawa zake za mimea na tiba watakubaliana nami na kusema hakika dawa zake kiboko. Hivi karubuni alifanya ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kutoa huduma kwa walio na magonjwa sugu na magonjwa ya kawaida ambao wameshindwa kufika katika kituo chake hapa Dar es Salaama kutokana na hali ya kiuchumi. Watu wa Mwanza waliweza kuhudumiwa katika kituo kilichoko Mwanza cha The Fadhaget Sanitarium Clinic.

Dr. Fadhili Emily akiwa katika ofisi yake Mwanza

Katika ziara hii aliweza kuongea na wasanii wa Bongo Flava kama vile H Baba ambaye naye alikiri kuwa dawa The Fadhaget Sanitarium Clinic na vipimo vya tiba ya mimea na matunda ni bora na hakuna kipingamizi. Umefika wakati wa kuwatumia hawa madaktari waliopewa karama ya kutumia mimea na matunda kuokoa afya za watu.

Dr. Fadhili Emily (kushoto) akiwa na H Baba wa Bongo Flava

Baadhi ya mimea inayotumika kama tiba

Dr. Fadhili Emily akiwa amejipumzisha baada ya kazi nzito ya kuhudumia Watanzania

TUONE ZIARA YAKE KATIKA PICHA





0 comments:

Post a Comment