Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, April 30, 2014

NDEGE IMENISAIDIA KUWAFIKIA WATANZANIA WENYE MAGONJWA SUGU - DR FADHILI EMILY

Tangazo limefanywa na Rumafrica +255 715 8515...

Monday, April 28, 2014

JENGO JIPYA LA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LAFUNGULIWA RASMI

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kujenga jengo letu la huduma ya tiba kwa njia ya mimea na matunda hapa Mbezi Afrikana barabara ya Salasala. Jeno hili ni kwaajili tu ya uhudumia Watanzania wenye shida mbalimbali na hasa wenye magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakiwatesa na kusababisha watu kukosa kufanya kazi kwaajili ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Dr. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic ambaye ndiye mmiliki wa kituo...

THE FADHAGET SANITARIUMCLINIC INAUNGANA NA IMANI ZA WAUMINI WA KANISA LA RABBON CENTER AFRIKA KUSINI YA KWAMBA MIMEA NA MATUNDA NI DAWA YA MAGONJWA SUGU:

The Fadhaget Sanitarium Clinic ni kituo cha Tiba kilichojikita katika kuhudumia afya za watu wenye magonjwa sugu kwa njia ya mimea na matunda na kumekuwa na mafanikio makubwa sana, watu wamepokea uponyaji wao na hii imesababishia hata kufungua matawi yetu katika mikoa 10 hapa Tanzania. Kwa kutambua hilo, waumini wengi wamekuwa wakitumia mimea hii ambayo imeumbwa na Mungu na imekuwa msaada mkubwa katika uponyaji wao. Tuone watu wa Mungu wakifamia...

Saturday, April 26, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC INAKUTAKIA MAADHIMISHO MEMA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO TANZANIA

...

THE FADHAGET SANITARIUM YAFUNGUA TAWI LAKE KAHAMA

Watu wa Kahama sasa wanaweza kujipatoia huduma zetu za tiba ya matunda na mimea katika eneo lao bila ya tatizo lolote. The Fadhaget Sanitarium imekuwa ikipokea maombi mengi sana kutoka kwa watu wa kahama ambao wamekuwa wakisumbuliwa na magonjwa sugu na kusababishia kukosa hata nuda wa kwenda kufanya kazi za maendeleo. Kwahiyo The Fadhaget Sanitarium Clinic baada ya kuona hayo iliamua kutii kile ambacho wana Kahama wanakihitaji. ...

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC YAFUNGUA TAWI MBEYA

Wakazi wa Mbeya na mikoa ya karibu tunapenda kuwajuza ya kwamba ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic zimefungulia mkoa hapo kwa lengo zima la kutoa huduma ya tiba kwa njia ya matunda na mimea. Baada ya kupokea maombi ya walio wengi wakihitaji huduma yetu nasi tuliona hatuna budi ya kufungua ofisi zetu mkoani hapo. Watu wamekuwa wakisumbuliwa na magonjwa sugu na wengine wamekosa nauli za kufika katika makao yetu makuu Dar es Salaam, baada ya kuona...

Thursday, April 24, 2014

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea. Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele...

MASAI WAKIMBILIA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA TIBA NA KINGA

Designer:Rumafrica...

Monday, April 21, 2014

UNAFAHAMU MATATIZO YA KUKOSA USINGIZI? THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC INAKUPA JIBU

Watu wengi wamekuwa wakisumbuka sana na kupata usingizi. Tatizo la kukosa usingizi ambalo hudumu kwa zaidi ya mwezi mmoja na mara nyingi huhusianishwa na magonjwa mengine makubwa, kama vile kushuka moyo. Tatizo hilo linaweza pia kuwa dalili ya ugonjwa mbaya. Kushindwa Kupumua Unapolala Mario alikuwa na tatizo la kusinzia kupita kiasi mchana. Alipokuwa akiendesha gari lao, ilimbidi mke wake amtazame kwa uangalifu kwa kuwa alikuwa na zoea la kusinzia...

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC TUNASEMA KUOZA KWA MENO (DENTAL CARIES) NI UGONJWA WA KUAMBUKIZWA

Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza linaweza kuambukiza meno yaliyogusana nalo na pia mgonjwa aliyeoza meno au mwenye wadudu wanaosababisha kuoza kwa meno anaweza kuambukiza mwenzake/wenzake. Dr. Fadhili EmilyWadudu wanaosababisha kuoza kwa meno ni sehemu ya wadudu wakazi kinywani (oral flora). Wadudu hawa hujishikiza...

THE FADHAGET SANITARIUM LEO INAKUPA BAADHI YA SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HEDHI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Friday, April 18, 2014

DR. FADHILI EMILY ANAKUTAKIA PASAKA NJEMA NA ULINDE MWILI WAKO NA MAGONJWA NA PIA AJALI KIPINDI CHA PASAKA

Kazi imefanywa na Rumafrica +244 715 8515...

MATATIZO YA KUPATA HAJA KUBWA AU KUCHELEWA KUPATA CHOO (CONSTIPATION)

Ni nini tatizo la kupata haja kubwa? Ni  haja kubwa inayopatikana isiyozidi mara tatu katika wiki na ama haja kubwa inayoleta shida kutoka kwake na utokaji wake ni mithili ya mavi ya mbuzi (uyabisi) hata kama inapatikana kila siku. Hali hii inaposhamiri muathirika hupata choo si zaidi ya mara tatu katika kipindi cha  mwezi mmoja. Ni moja miongoni mwa matatizo katika mfumo wa kusaga chakula...

DR FADHILI EMILY AKIWA KATIKA ZIARA YAKE ZANZIBAR

Jamani kuna watu wanataabika hapa duniani na magonjwa sugu. Magonjwa haya wyamesababisha hata uchumi wa nchi kushuka chini, watu wamekuwa hawafanyi kazi kutokana na kuumwa, wamekuwa watu wa kukaa nyumbani na kuwa tegemezi. Dr. Fadhili Emily alitambua hilo na kuamua kutafuta suluhu ya magonjwa haya akishirikiana na vyuo vya kimataifa katika kutafuta  dawa za mimea na matunda ambazo zitatibu magonjwa haya sugu. Zoezi la kuzipata dawa lilifanikiwa...

JE UNAFAHAMU DALILI NA ISHARA ZA UJAUZITO? THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC INAKUPA JIBU

Doctor Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic ninependa kukusalimu kwanza na pole kwa majukumu yanayokusibu. Leo hii nilitaka ujue ya kwamba dalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sanaNi muhimu kuzitambua na kuzifahamu dalili hizi kwa sababu zinaweza kusaidia kuelezea au kutofautisha matatizo mengine mbali ya ujauzito.Dr. Fadhili EmilyDalili na ishara za Ujauzito:...

Thursday, April 17, 2014

TUMAINI KWA WALIOKATA TAMAA NA MAGONJWA SUGU LIKO THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC

...

H BABA NAYE AKIRI KUWA DAWA ZA THE FADHAGE SANITARIUM CLINIC NI BORA

...

PICHA ZA DR. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KATIKA ZIARA YAKE MKOA MWANZA

Dr. Fadhili Emily ambay amefanyika zawadi kwa walio wengi na hasa waliotumia dawa zake za mimea na tiba watakubaliana nami na kusema hakika dawa zake kiboko. Hivi karubuni alifanya ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kutoa huduma kwa walio na magonjwa sugu na magonjwa ya kawaida ambao wameshindwa kufika katika kituo chake hapa Dar es Salaama kutokana na hali ya kiuchumi. Watu wa Mwanza waliweza kuhudumiwa katika kituo kilichoko Mwanza cha The...

DALILI NA SABABU ZA MIGUU/MIKONO KUFA GANZI. NI KITU GANI CHA KUFANYA

...

Monday, April 14, 2014

KWANINI HUSHIKI MIMBA? THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC INAKUPA SABABU ZA KUTOSHIKA MIMBA KWA MAWANAMKE

SEHEMU YA KWANZAMtu ambaye ana tatizo la kutoshika mimba kitaalamu tunasema Infertility na kushindwa kupata mimba kwao huitwa Conceive. Kwa kawaida kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, wanandoa asilimia 50 wanapata mimba ikiwa watajamiiana bila kutumia kinga wakifanya tendo hilo ndani ya miezi mitatu na asilimia 75 baada ya miezi sita na asilimia 95 baada ya mwaka mmoja. Sababu za tatizo la kutopata mimba ni nyingi sana na baadhi yake ni hizi...