Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, March 29, 2014

DOKTA FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC AKIWA OFISI ZAKE MWANZA

Baada ya kusikia kilio cha watu wa Mwanza, Dk. Fadhili Emily aliweza kutemmbelea watu hawa wa Mwanza ambao waliweza kufika katika ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic Mwanza na kuongea machache. Dk Fadhili Emily aliweza kutoa huduma kwa wagonjwa waliofika mahali hapo na kutoa ushauri kwa wenye magonjwa sugu.


Dk Fadhily Emily

Wafanyakazi waliweza kuongea na mwasisi wa The Fadhaget Sanitariium Clini, Dk Fadhily Emily. Baada ya zoezi kumalizika wafanyakazi walionekana kusikitishwa walipoagana na doctor. Hii inatokana na upendo alionao Dk. Fadhili Emily.

Tuone baadhi ya matukio:








0 comments:

Post a Comment