Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, March 15, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC YAFUNGUA OFISI MKOA WA TANGA

The Fadhaget Sanitarium Clinic inapenda kukujulisha wewe mkazi wa Tanga na mikoa ya jirani ya kwamba sasa tumefungua ofisi yetu mpya mkoa Tanga. Hii ni kutoka na wananchi wa mkoa wa Tanga kuhitaji huduma yetu iwafikie, watu wamekuwa wakusumbuliwa na magonjwa mbalimbali na kuwasababishia hata kushindwa kufanya kazi, na hii imechangia sana hata uchumi wa nchi kushuka kwani watu hawafanyi kazi kutokana ma magonjwa yanayowasumbua. The Fadhaget Sanitarium clinic kwa kuona hilo ikishirikiana na wananchi wa mkoa huo ikaamua kufungua tawi linginge la tiba.

Ofisi yetu ipo Tanga mjini  barabara ya 16 kama unaelekea Makolola ni kituo cha mzimuni, nyumba ya 7 kushoto  kama  unaelekea jele ya watoto.

Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitaium Clinic

Ofisi ya The Fadhaget Sanitarium Clinic Tanga

Makao makuu ya huduma hii ya The Fadhaget Sanitarium Clinic yako  jini Dar es Salaam eneo la Mbezi Afrikana barabara ya Salasala.

Jengo jipya la The Fadhaget Sanitarium Clinic (Makao Makuu) hapa Bongo

0 comments:

Post a Comment