Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, March 15, 2014

TAWI JIPYA LA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LAFUNGULIWA MKOA WA DODOMA

The Fadhaget Sanitarim Clinic chini ya mkurugenzi Dk. Fadhili Emily inapenda kukujulisha ya kuwa sasa huduma yetu inapatikana katika mkoa wa Dodoma. Hii ni kutokana na wananchi wa mkoa wa Dodoma kuhitaji huduma yetu ambayo imefanyika msaada mkubwa kwa maelfu ya wagonjwa walipona kwa kupitia dawa zinazosambazwa na clinic yetu.

Kwa hiyo mkazi wa Dodoma na mikoa ya jirani huna sababu ya kupoteza nauli yako na muda wako wa kufika Dar es Salaama kwa matibabu. Huduma hii imekufikia mlangoni ili uweze kupona, sio kipindi cha kupoteza muda wa kufunga safari kufika katika makao yetu makuu hapa jijini Dar es Salaam. Huduma zinazopatikana hapo ndizo zinazotolewa Dar es Salaama.
Dodoma tunapatikana Dodoma mjini karibu na soko kuu Majengo ni ghorofa ya kwanza kulia kwako kama unaelekea stand ya Mshikamano.
Tupigie kwa ushauri
+255 712 705 158 | +255 757 931 376 | +255 787 705 158
+255 757 505 158 | +255 774 505 158 | +255 787 505158
DR. Fadhili Emily

0 comments:

Post a Comment