Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Saturday, March 29, 2014

DOKTA FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC AKIWA OFISI ZAKE MWANZA

Baada ya kusikia kilio cha watu wa Mwanza, Dk. Fadhili Emily aliweza kutemmbelea watu hawa wa Mwanza ambao waliweza kufika katika ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic Mwanza na kuongea machache. Dk Fadhili Emily aliweza kutoa huduma kwa wagonjwa waliofika mahali hapo na kutoa ushauri kwa wenye magonjwa sugu. Dk Fadhily Emily Wafanyakazi waliweza kuongea na mwasisi wa The Fadhaget Sanitariium Clini, Dk Fadhily Emily. Baada ya zoezi kumalizika...

UNAFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI NA SABABU ZAKE?

Ugonjwa wa Kisukari ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani ikiwamo Tanzania. Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo aina ya Insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka au kushuka kwa kiwango cha sukari kwenye damu au hyperglycemia. Aina za kisukari Kisukari kimeanishwa katika makundi yafuatayo:...

Monday, March 24, 2014

SABABU ZA KUHARISHA KWA WATOTO

Utangulizi Kuharisha kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano. Inakadiriwa kwamba kwa kila watoto 5 wanaofariki , 1 hufa kwa sababu ya kuharisha. Watoto milioni 1.5 kila mwaka hufa kutokana na kuharisha. Leo hii, inakadiriwa asilimia 39 tu ya watoto wanaoharisha katika nchi zinazoendelea hupata matibabu sahihi.Hata hivyo, mwenendo wa kitakwimu unaonesha kwamba kumekuwa...

Thursday, March 20, 2014

SABABU ZA KUTOKA HARUFU MBAYA UKENI NA NAMNA YA KUJIKINGA

Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchavu na kutojisafisha vizuri… Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili… Kihalisi, badala kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua… Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu… Ila mimi naamini walio wengi huwa wanazingatia usafi… Ndo maana nimeona leo tupeane...

SABABU ZA KUTOKUSHIKA MIMBA

Tatizo la baadhi ya wanandoa kutokushika mimba limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka na wengine hukata tamaa mapema kwani huweka fikra za kupata mimba kuanzia mwezi wa kwanza wa ndoa yao. Mtu ambaye ana tatizo la kutoshika mimba kitaalamu tunasema Infertility na kushindwa kupata mimba kwao huitwa Conceive. Kwa kawaida kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, wanandoa asilimia 50 wanapata mimba ikiwa watajamiiana bila kutumia kinga wakifanya tendo...

DK. FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC AKIFANYA MAHOJIANO REDIONI

Hivi karibuni niliweza kufanya mahojiano katika moja ya radio hapa jijini Dar es Salaam kuhusiana na huduma bora zinazotolewa na The Fadhaget Sanitarium Clinic zilizopo Mbezi ya Tegeta eneo la  Afrikanasana barabara ya Salasala.Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clin...

Saturday, March 15, 2014

TAWI JIPYA LA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LAFUNGULIWA MKOA WA DODOMA

The Fadhaget Sanitarim Clinic chini ya mkurugenzi Dk. Fadhili Emily inapenda kukujulisha ya kuwa sasa huduma yetu inapatikana katika mkoa wa Dodoma. Hii ni kutokana na wananchi wa mkoa wa Dodoma kuhitaji huduma yetu ambayo imefanyika msaada mkubwa kwa maelfu ya wagonjwa walipona kwa kupitia dawa zinazosambazwa na clinic yetu.Kwa hiyo mkazi wa Dodoma na mikoa ya jirani huna sababu ya kupoteza nauli yako na muda wako wa kufika Dar es Salaama kwa matibabu....

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC TUNGEPENDA KUKUJULISHA KUHUSIANA NA VIDONDA VYA TUMBO

The fadhaget Sanitarium Clinic tungependa kukujulisha machache kuhusiana na vidonda vya tumbo. Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi zetu hapa Dar es Salaam maeneo ya Afrikana barabara ya Salasala na mikoani utasaidiwaDr. Fadhili Emily Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu. Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana...

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC YAFUNGUA OFISI MKOA WA TANGA

The Fadhaget Sanitarium Clinic inapenda kukujulisha wewe mkazi wa Tanga na mikoa ya jirani ya kwamba sasa tumefungua ofisi yetu mpya mkoa Tanga. Hii ni kutoka na wananchi wa mkoa wa Tanga kuhitaji huduma yetu iwafikie, watu wamekuwa wakusumbuliwa na magonjwa mbalimbali na kuwasababishia hata kushindwa kufanya kazi, na hii imechangia sana hata uchumi wa nchi kushuka kwani watu hawafanyi kazi kutokana ma magonjwa yanayowasumbua. The Fadhaget Sanitarium...

FAIDA 5 ZA MAJI AMBAZO HAZIZUNGUMZIWI SANA

The Fadhaget Sanitarium Clinic tunakushauri kunywa maji ya kutosha ili kuwa na afya njema. Sehemu kubwa ya mwili wako ni maji. Kila seli kwenye mwili wako unahitaji maji ili kuchukua chakula na kutoa uchafu. Pia maji yanahitajika kwa usafirishaji mwilini, sehemu kubwa ya damu ni maji. Faida hizo zimezungumzwa sana na hivyo umesisitizwa kunywa maji walau lita moja na nusu kwa siku ili kuwa na afya njema. Kuna faida nyingine za maji ambazo huwa hazizungumziwi...

Wednesday, March 12, 2014

HABARI KUTOKA MITANDAONI: JE WAJUA SIMU YAKO YA MKONONI YAWEZA SABABISHA UKAZAA MTOTO MTUKUTU? SOMA HAPA

MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo umetaja madhara mengine ya mionzi ya simu za mkononi kuwa ni uharibifu wa manii, mimba, kupungua kwa nguvu za kiume, kupoteza kumbukumbu na kuzaa watoto watukutu. Pia umeeleza kuwa matumizi kupita kiasi ya simu hizo, husababisha mtindio wa ubongo na upungufu wa udadisi kwa watoto tangu udogo wao. Hata hivyo, utafiti...

Tuesday, March 11, 2014

MATUNDA NI MUHIMU SANA KATIKA MWILI WAKO

The Fadhaget Sanitarium Clinic tunakushauri uanze sasa kutumia matunda kwaani ya umuhimu sana katika mwili wako. Kuna mambo mengi unaweza kufaidika katika utumiaji wa matunda katika mwili wako. Pia unashauriwa kupenda sana kutumia mbogamboga mara kwa mara kwa afya yako.Dr. Fadhili EmilyLEO TUTAANGALIA FAIDA ZA MACHUNGWA MWILINI MWAKOFaida ya jamii ya machungwa watu wengi kujua. Ni muhimu sana ladha na matunda. Labda kwa sababu hii kwamba wanawake...

Thursday, March 6, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINICM - KITENGO CHA SAYANSI YA TIBA ASILIA TUMEFUNGUA MATAWI SABA MIKOANI

Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Ckinic Tunahusika na kutibu magonjwa karibia yote, hasa yaliyo sugu kama vile vidonda vya tumbo, figo kufa ganzi, miguu kuwaka moto, kuvimba miguu na unapobonyeza linabaki shimo, kisukari, pumu, moyo, mapafu, sickle cell (upungufu wa damu), kuziba kwa mirija ya uzazi, uvimbe wa kizazi, matokeo ya dalili za hatari katika via vya uzazi kama vile kuwashwa, vipele kutokea pembeni mwa mlango wa uzazi,...