
Dr. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic iliyopo nchini Tanzania aliweza kukutana na wanafunzi wa Chuo cha Tiba kinachotambulika kwa jina la THE UNIVERSITY TEACHING HOSPITAL (U.T.C).
Dr. Fadhili Emily aliweza kumshukuru Mungu kwa kile alichompa katika maisha yake, hasa ule uwezo wa kuweza kutambua na kujua ni dawa gani zinaweza kumsaidia mwanadamu ambaye amekuwa akiteseka sana na magonjwa sugu ambayo yamemsababishia kuonekana kama amekataliwa...