Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, July 29, 2015

Shuhuda Aliyeteseka Miaka 10 Bila Kupata Mtoto, Hatimaye Atoa Ushuhuda Baada ya Kupata Mtoto.

Shuhuda ajulikanaye kwa jina moja tu la Bi. Sophia ametoa ushuhuda wa kupata mtoto baada ya kupata matibabu kutoka The Fadhaget Sanitarium Clinic. Bi. Sophia akiwa na mwanae. Bi.Sophia amesema kuwa kwa muda wa miaka 10 amekuwa akitafuta mtoto lakini hakubahatika kupata mtoto. Kupitia matibabu kutoka kwetu aliweza kupimwa, na baada ya kupimwa akapatiwa dawa na sasa analea mtoto. The Fadhaget Sanitarium Clinic wamekuwa ni mabingwa wa kutibu magonjwa...

Sunday, July 19, 2015

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni...

KUTOKUPEVUKA KWA MFUMO WA UZAZI (HYPOGONADISM)

Hali hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au glandi hizi ni korodani kwa mwanaume na ovari kwa mwanamke. CHANZO CHA TATIZO Tatizo hili linaweza kuwa linatokea tangu kuzaliwa au linatokea katika mfumo mzima wa mwili. Kwa tatizo la kuzaliwa nalo, korodani au vifuko vya mayai huwa havifanyi kazi ya kuzalisha vichocheo au homoni zinazohitajika ambapo kwa korodani...

Friday, July 17, 2015

Utafiti wa Jinsi Mbu anavyoweza Kutafuta Chakula Chake.

Mbu Utafiti mpya umebaini kwamba mbu hutafuta kitu cha kula kwa kutumia vigezo vitatu, Harufu,  Macho na  Joto. Utafiti huo unasema kuwa mbu anaweza kufahamu aliko mwanadamu kupitia hewa ya kaboni ambayo watu hupumua nje. Inasemekana mbu hunusa hewa hii kiasi cha mita 50. Wanasayansi wamesema kwamba walimfuatilia mbu mwenye njaa, ndani ya mtaro uliofunikiwa. Kisha waligundua kwamba mbu hao walianza kunusa nusa hewa ya kaboni, na kutema...

Wednesday, July 15, 2015

Technology and It's Hazardous on Health.

It's hard to imagine life without cellphones, BlackBerrys and WiFi. But some people believe the technology that makes modern life so convenient may be hazardous to our health. Mobile communications devices, along with microwave ovens, power lines, cellphone towers and wireless base stations, generate electromagnetic fields, a form of low-frequency radiation. EMFs have been studied as a possible factor in conditions from cancer to cognitive...

The Fadhaget Sanitarium Clinic Ni Namba Moja Nchini kwa Matibabu Kamili ya Uzazi na Magonjwa Sugu.

Sasa The Fadhaget Sanitarium Clinic tumefanikiwa kuingia katika Namba ya kwanza nchini Tanzania kwa Kuwasaidia kikamilifu wanawake wanaotafuta uzazi. Riport zilizotufikia Asilimia 90% ya waliofika wakisumbuliwa na  Uvimbe wa kizazi, Kuziba kwa Mirija ya Uzazi, na Ugumba au kutokushika Mimba. Wamerudisha taarifa nzuri kuwa wamefanikiwa kupitia dawa Zetu zitokanazo na Sayansi ya mimea Asilia.  The Fadhaget Sanitarium Clinic Ni Kitengo...

Monday, July 13, 2015

FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA-2

NiLiaNza wiki iliyopita kueleza kinachosababisha kutoshika mimba. Leo naendelea kufafanua. Kuna njia au aina mbili za wanawake kushindwa kushika mimba au kwa maneno rahisi, ugumba kitaalamu Infertility,  ambao unatambuliwa kitabibu. Aina moja huitwa kitaalamu Secondary infertility na aina nyingine huitwa Primary infertility. Ugumba unaotokea baadaye maishani hujulikana kitaalamu kama Secondary infertility Ugumba huu hugundulika pale...

Sunday, July 12, 2015

A New Study Shows That Use of Mobile Phones Could Cause Cancer.

Weizmann Institute of Science in Rehovot A new study published by New Scientists states that the use of mobile phones for a long duration could eventually cause cancer. The study which was conducted by Weizmann Institute of Science in Rehovot, Israel revealed that using the mobile phone for a meager five minutes could generate cell growth or division through particular pathways that are often used by cancer only. Prof Rony Seger Prof Rony...

Kuzuia na Kudhibiti Kupanda Kwa Shinikizo La Damu.

Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuunganishwa na kifaa cha kurekodi shinikizo. Kifaa hicho hurekodi vipimo viwili. Kwa mfano, chaweza kurekodi kipimo cha 120/80. Nambari ya kwanza huonyesha kipimo cha shinikizo la damu wakati moyo unapopiga (systole). Nambari ya pili huonyesha kipimo cha shinikizo...

Wednesday, July 8, 2015

Mtanzania mwenzangu, Tambua Matunda na Faida Zake.

The Fadhaget Sanitarium Clinic ikiongizwa na Dk. Fadhili Emily inapenda kukujuza kidogo faida za matunda mwili mwako. Karibu Dk. Fadhili Emily AFRIKA imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi, ikiwa ni urithi tangu enzi na enzi. Pamoja na bara hili kujaa vyakula vyote vinavyohitajika na wanadamu, bado uhai wa watu wake wengi ni mfupi. Katika orodha ya wastani wa maisha iliyowahi kutolewa na Shirika la Ujasusi Marekani (CIA)...

Tuesday, July 7, 2015

Njia Rahisi 10 za Kupunguza Unene, Zingatia Haya.

  UTANGULIZI. Ugali kwa samaki; mboga ya majani ya matango kwa nyanya. Usiweke chumvi kwenye hiyo mboga mbichi ya majani. Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata wale waliosoma au wanaojiweza kiuchumi ni miaka 40-50. Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema afya zetu. 1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila. ...

Thursday, July 2, 2015

The Fadhaget Sanitarium Clinic Inapatikana Zaidi ya Mikoa 10 Nchini Tanzania.

   The Fadhaget Sanitarium Clinic katika kuhakikisha inatoa huduma zake kwa kila mmoja, na kuweza kukufikia karibu na kutoa huduma ya matibabu inahakikisha inasambaa mikoa yote na kuwa karibu na watu wote kwa pamoja. Katika mikoa zaidi ya 10 kwa Tanzania, The Fadhaget Sanitarium Clinic imeweza kuweka vituo vyake vikuu na kuhakikisha inakupa huduma bora kabisa.  Kwa watu kutoka mikoa mbalimba mnaweza KUBONYEZA HAPA KUTAZAMA VITUO...