Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

MATAWI YA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC TANZANIA [THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC BRANCHES]

Dk Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic ninakukaribisha sana katika clinic yetu iliyopo Mbezi Afrikana njia ya Salasala hapa jijini Dar es Salaam Tanzania. Tunakukaribisha wewe unayesumbuliwa na magonjwa sugu na wewe unahitaji ushauri. Ofisi zetu zipo wazi wakati wote isipokuwa siku ya Jumamosi. Mlete mgonjwa naye atatibiwa na kupona. Kwanini uteseke na kupoteza muda wako wakati tiba zinapatikana The Fadhaget Sanitarium Clinic...!!!

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC NI KIMBILIO LA WALIO WENGI NA NI MKOMBOZI WAKO KWA TIBA BORA NA UHAKIKA.

Tupigie kwa ushauri na Maswali Mbalimbali

+255 712 705 158  | +255 757 931 376 | +255 787 705 158 | +255 757 505 158
+255 774 505 158 | +255 787 505158 

P.O.Box 42029,
Mbezi Beach, Afrikana njia ya Salasala, Dar es Salaam, Tanzania
Tunapatikana kwa simu zifuatazo:

+255 712 705 158 | +255 757 931 376 | +255 787 705 158 | +255 757 505 158 | +255 774 505 158 | +255 787 505158

Barua Pepe: fadhaget@gmail.com

Pia unaweza kusikiliza Praise Power Radio 99.2FM kila siku ya Jumapili kuanzia saa 11:30 asubuhi mpaka saa 12"30 mchana


"Matibabu salama, dawa za matunda na mimea"

Dr. Fadhili Emily


Dk. Fadhili Emily akiwa Ofisini.


Mpaka sasa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC imekuwa na matawi saba ambapo kila mkoa uliotajwa hapo chini kuna kituo cha THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC na watu wanakimbilia mahali hapo kujipatia TIBA. Kama ulikuwa hujafahamu, sasa waweza kufika katika matawi yetu na kujipatia matibabu na huduma zetu ni bora na za uhakika. Kumuona daktari ni BURE kabisa.









MAKAO MAKUU YA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC

1: DAR ES SALAAM

Mbezi Beach, Afrikana njia ya Salasala


2: MWANZA

Tunapatika Mwanza mjini Kilimahewa kituo cha Mnazi mmoja barabara mpya ya lami 

 

3:ARUSHA

Arusha tunapatikana round about ya Florida nyuma ya Galax

 Eneo la Arusha



4: MBEYA

Mbeya tunapatikana mjini karibu na Shule ya Msingi Sisimba au karibu na Mbeya Peak Hotel 













5. ZANZIBAR

Zanzibar tunapatikana Unguja barabara kuu ya Amani, kituo cha Gongo Store






6. TANGA

Tanga tunapatikana Tanga mjini barabara ya 16 kituo cha Mzimuni ni nyumba ya 7 kushoto kama unaelekea jela ya watoto.


7. DODOMA

Dodoma tunapatikana Dodoma mjini karibu na soko kuu Majengo ni ghorofa ya kwanza kulia kwako kama unaelekea stand ya Mshikamano.

7. KAHAMA

Karibu na Lake Zone PPF













 
 
 


Tupigie kwa ushauri 

+255 712 705 158 | +255 757 931 376 | +255 787 705 158
+255 757 505 158 | +255 774 505 158 | +255 787 505158
 

Dr. Fadhili Emily

2 comments:

  1. Nashukuru kwa kuona matibabu yako hapa blogini.
    Mimi nina tatizo la miguu kuuma sana na sasa inadalili ya kufa ganzi pamoja na mikono yote.Pia nina matatizo ya kichwa kuuma kwa muda mrefu nimejaribu kujitibu kwa dawa za kisasa na kienyeji ila bado sijapata mafanikio.
    Sasa naomba kujua iwapo ninaweza kupata matibabu sahihi katika kliniki yako,ila mie nipo Moshi na sijuhi kama una tawi hapa Moshi.

    ReplyDelete
  2. Tawi lenu la Moshi limeshaanza kufanya kazi?

    ReplyDelete