Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, May 25, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC INAKUPA SABABU ZA KUTOKA HARUFU MBAYA UKENI NA NAMNA YA KUJIKINGA

The Fadhaget Sanitarium Clinic inasema, wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchavu na kutojisafisha vizuri… Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili… Kihalisi, badala kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua… Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu… Ila mimi naamini walio wengi huwa wanazingatia...

Saturday, May 24, 2014

THE FADHAGET INAKUPA JINSI YA KUPATA USINGIZI KWA AFYA YAKO

MAMBO mengi yanayohusu usingizi yamejulikana katika miaka 50 iliyopita. Mambo ambayo yamegunduliwa yamepinga dhana zenye kasoro ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Dhana moja inasema kwamba wakati ambapo mtu amelala huwa hatendi kwani viungo vingi vya mwili hupumzika.                                                                                          ...

Wednesday, May 21, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM INAKULETEA SABABU ZA KUCHELEWA KUPATA HEDHI

Kwa kawaida mwanamke huacha kupata hedhi kitaalam huitwa Menopause anapofikisha umri wa miaka 42 -55 na kuendelea. Leo tutazieleza sababu nje ya utaratibu huo wa kimaumbile unaoweza kumfanya mwanamke asipate hedhi na moja kubwa ni tabia ya maisha yake ya kila siku, yaani vyakula anavyokula (life style). SIGARATatizo moja kubwa ambalo huwakumba wanawake wanaovuta sigara ni kukosa hedhi au kuharakisha kutopata hedhi miaka miwili kabla ya wakati...

Monday, May 19, 2014

MATATIZO YA KUPATA CHOO AU KUCHELEWA KUPATA CHOO (CONSTIPATION)

Ni nini tatizo la kupata haja kubwa? Ni  haja kubwa inayopatikana isiyozidi mara tatu katika wiki na ama haja kubwa inayoleta shida kutoka kwake na utokaji wake ni mithili ya mavi ya mbuzi (uyabisi) hata kama inapatikana kila siku. Hali hii inaposhamiri muathirika hupata choo si zaidi ya mara tatu katika kipindi cha  mwezi mmoja. Dr. Fadhili Emily akiwa katika makao makuu ya The Fadhaget Sanitarium...

Thursday, May 15, 2014

MTANZANIA ONDOA HOFU, DENGUE INATIBIKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC

...

KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahman Kingunge amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali...

Tuesday, May 13, 2014

TIBA YA UGONJWA UNAOSABABISHWA NA MBU DENGUE YAPATIKANA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA DOCTOR FADHILI EMILY

The Fadhaget Sanitarium Clinic chini ya Dr. Fadhili Emily ni kitengo cha Sayansi na Tiba Asilia, tunakiri wazi ugonjwa wa  dengue ni fani yetu , mimi ugonjwa huu nimeufanyia utafiti mwaka 2010 nchini Afrika Kusini kupitia kitengo cha University of Medicine Plant  kilichopo Pritoria na ni wazi  kwamba ugonjwa huu ulikuwepo na tulikuwa tukiutibu kuanzia hapo. Ni wengi walikuwa wakisumbuliwa na ugonjwa huo na wakipima mahospitalini...

Monday, May 12, 2014

FIGO: MATATIZO YA FIGO NI TISHIO KWA WATANZANIA

Gharama kubwa za matibabu zawakatisha matumaini. Hapa duniani kuna maradhi aina nyingi yanayotisha, yakisumbua binadamu, kuwatia ulemavu hata kuwa chanzo cha uchumi kutetereka, wakati mwingine kusababisha kifo. Miongoni mwa maradhi hayo ni kuharibika kwa figo. Ugonjwa huo unaelezewa kwamba siyo tu unaleta maumivu kwa mgonjwa, bali pia hautibiki kirahisi pamoja na gharama za matibabu husika kuwa kubwa na wengi kushindwa kuzimudu. Wataalamu wa afya...

Saturday, May 10, 2014

ZIFAHAMU NJIA KUMI ZA KUKUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE KWA KUPITIA BLOGU YA THE FADHAGET SANITARIUM CLINI

The Fadhaget Sanitarium Clinic chini ya Dr. Fadhili Emily leo imeona ni vizuri kuongea na watu wanene wanaohitaji kuwa wembamba. Unaweza kuzaliwa na unene na wengine wanapata unene ukubwa kutokana na sababu mbalimbali. Sasa ninaomba twende sawa kuangalia ni jinsi gani ya kupungu za unene na vitu gani vya kuzingatia1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila. Unavyokula. -Kuna kula vyakula vidogo vidogo vyenye madini,...

Thursday, May 8, 2014

USIWAZE JUU YA VIDONDA VYA TUMBO, JIBU LAKO LIKO THE FADHAGET SUNITARIUM CLINIC

The Fadhaget Sanitarium Clini inasema pole sana kwa kusumbuka na tatizo hilo ulinalo. Umefika wakati na saa wa kupokea matunda yako. Dawa zetu zimehakikishwa na zimedhibishwa kwa magonjwa sugu kupokea uponyaji wao.Katika toleo la 12 la mfululizo wa makala haya, Dk. Khamis Zephania alieleza dalili za tumbo kujaa gesi na tatizo la kufunga choo. Sasa endelea kumfuatilia katika sehemu hii ya 13. Kiungulia: Pia huitwa acid reflux, au GERD. Wakati...

Tuesday, May 6, 2014

YASEMEKANA RAY C AMEUGUWA UGONJWA WA DENGE ALAZWA MWANANYAMALA

Ray C akiwa amelazwa katika moja ya wodi za hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam jana Jumatatu. Picha na Rafael Lubava Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya hospitalini hapo, alifikishwa hapo jana Jumatatu asubuhi na baadhi ya madaktari walibainisha kuwa Ray C anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue ambao umelipuka katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam hivi karibuni....

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA DENGUE (DENGUE FEVER)

Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kuendelea kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya dengue hapa nchini. Ugonjwa huu ulithibitishwa kuwepo hapa nchini hususan hapa jijini Dar es Salaam mnamo mwishoni mwa mwezi wa Januari 2014. Hadi sasa idadi ya wagonjwa ambao wamethibishwa kuwa na ugonjwa huu kwa kipindi hiki ni 70 ikiwa ni wagonjwa 58 Kinondoni, 7 Temeke na 5 Ilala. Kwa kipindi cha wiki...

Friday, May 2, 2014

UGONJWA WA KASWENDE UNAVYOSUMBUA WATU WENGI DUNIANI..NINI CHA KUFANYA KUONDOKANA NA UGONJWA HUU?

Kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria ya spirochete Treponema pallidum baadhi ya spishi pallidum. Njia ya kawaida zaidi ya kuambukizwa ni kupitia kufanya ngono; hata hivyo, kaswende pia inaweza kuambukizwa kutoka kwa mama hadi kwa fetasi wakati wa ujauzito au wakati wa kuzaliwa kwa mtoto, na kusababisha kuzaliwa na kaswende. Magonjwa mengine ya binadamu yanayohusiana niTreponema pallidumbakteria inajumusiha buba (baadhi ya spishi...

SIFAHAMU OFISI ZA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC ZILIZOPO KATIKA MIKOA KUMI TANZANIA

...