Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, April 14, 2013

ANASTAZIA MALYA APATA UJAUZITO BAADA YA KUTUMIA DAWA KUTOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Mimi ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa sinza dare s Salaam, nimeugua kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio. Nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mengi sana yaliyonisababishia kutopata ujauzito, nilikaa na mume wangu zaidi ya  mila...

SALOME FAUSTINE AMSHUKURU DK. FADHILI EMILY KWA KUPATA MTOTO BAADA YA KUPONA UVIMBE KATIKA UZAZI

Salome Faustine ambaye alikuwa na tatizo la kupata mimba kutokana na uvimbe katika kizazi kwa muda wa miaka 6, baada ya kutumia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic aliweza kupata mimba na sasa amejifungua mtoto. aliweza kufika ofisi kwetu na kutupongeza kwa huduma zetu.Faustine akisalimia na baadhi ya wahudumu baada ya kupata ujauzito  Dk. Fadhili Emily akiwa na mtoto wa faustine baada ya kujifungua. Picha hii ilipigwa kipindi Salome...

GARI LA DK FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LIKIWA LIMETOKA MKOA WA TABORA

Dk. Fadili Emily alifunga safari hadi mkoa wa Tabora kwaajili ya kutafuta dawa mbalimbali. Safari yake ilikuwa ndefu sana kwa lengo la kukusaidia wewe unayesumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Karibu wewe unayesumbuliwa na wewe mwenye mgonjwa upate dawa zenye kuponya.  gari likiwa katika Makao Makuu ya The Fadhaget Sanitarium Clinic   ...

DADA ALIYETESEKA KWA KANSA YANGOZI KWA MUDA MREFU APONA

Kwa uhakika ugonjwa huu wa ngozi ulinitesa sana zaidi ya mika 7. Nilipelekwa hospitali nyingi bila ya mafanikio na wakajaribu kunipima na ugonjwa haukuweza kuonekana. Baada ya kuona siponi nilienda kwa waganga wa kienyeji au wa jadi bila mafanikio, ilifika hatua nikakata tamaa. Niliteseka sana ilifika kipindi wadogo zangu na ndugu zangu wakawa wananinyanyua na kuniweka juani na kunigeuza geuza, maana ilifika hatua siwezi kusimama wala kujigeuza...

UNAJUA KUWA MAUA YA YERUSALEM NI DAWA?

Tutawaletea faida za kutumia maua ya Yerusalem kama dawa katika mwili wa bindamu. Endelea kutembelea blogu yetu hii kwani utaelimika ...

Saturday, April 13, 2013

ZIARA YA DK FADHIL EMILY WA SANITARIUM CLINIC JIJINI ARUSHA

Tumefanya ziara fupi jiji la Arusha Tanzania. Watu wamependa huduma zetu, wamepimwa, wametibiwa. Wakazi wa jiji la Arusha wameamua kutupatia nyumba ya kufanyia huduma zetu na hatutakuwa tukifikia hotelini tena kufanya huduma zetu kama mwanzo tulivyokuwa tukifanya. Kuanzia tarehe 01 Mei 2013 huduma ya The Fadhaget Sanitarium Clinic itapatikana jijini Arusha katika mtaa wa Stand Ndogo, karibu na geti la nyuma la kuingilia la hospitali ya Seliani....