
ALFRED APONA KATIKA CLINIC YA FADHAGET SANITARIUM ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, BAADA
YA HOSPITALI ZINGINE KUSHINDWA KUMTIBU MAGONJWA YALIYOMSABABISHIA KUTOTEMBEA
KWA MUDA MREFU.
Bwana Afred atoa ushuhuda wake bada ya kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa
muda mrefu, na haya ndiyo aliyoyasema:
ALFRED
Nachukua
nafasi hii kuwashukuru FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH DAR ES SALAAM
kwasababu nilikotoka Mungu anajua, wakati nikiwafikia...