Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Tuesday, December 29, 2015

Usikose Kutazama Kipindi cha TUNDA LA LEO.

...

Monday, December 21, 2015

Usikose kipindi cha Sayansi ya Jamii - Star Tv

Kipindi kitakuwa ni kila siku, katika muda wa Saa 3 na Nusu Usiku, STAR TV....

Sunday, December 6, 2015

Dr. Fadhili Emily Kwenye Mkutano na Resolution Insurance.

Dr. Fadhili Emily akiiwakilisha The Fadhaget Sanitarium Clinic wiki hii alishiriki katika moja ya mkutano ulioweza kutoa elimu kuhusiana na Insurance za Afya. Katika wiki hii aliweza kuonea na kutoa elimu kuhusiana na Madhara ya Matumizi ya simu za mikononi na adhari zake pamoja na njia sahihi za kutumia simu za mikononi kiuslama. ...

Friday, November 13, 2015

Maumivu ya Tumbo ya Mata kwa Mara kwa Wanawake.

Wanawake wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara hupata athari nyingi baadaye endapo kama hawatagundua chanzo cha maumivu hayo. Katika tumbo la mwanamke kuna mfumo wa kawaida wa tumbo ambao ni tumbo la chakula na mfuko wa haja kubwa, kuna kibofu cha mkojo na mfumo wa mkojo. Pia kuna mfumo wa uzazi ambao ndiyo tunaozungumzia leo kwa undani. Mfumo wa chakula una matatizo yake mengi ambayo huambatana na kichefuchefu...

Sunday, November 8, 2015

Friday, October 23, 2015

Dr. Fadhili Emily. (Photos)

  ...

Sunday, September 27, 2015

Dr Fadhily Emily On Interview at Times FM.

View Dr Fadhily Emily's Photos on the interview at Times FM Radio, Dar es Salaam Tanzania.   ...

Monday, September 7, 2015

MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-2

Tuliwahi kuzungumzia kuhusu wanawake wanaokumbwa na tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi na tukawasihi kwamba wanaweza kutumia mti wa mlonge ili kutatua tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi, lakini kwa ufupi tu wangepata kujua ni jinsi gani wanaweza kukumbwa na tatizo kama hili: VYANZO Vyanzo vya tatizo la kuvimba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke ni kama vile: Kukumbwa na bakteria mbalimbali sehemu za siri, lakini hili kwa upande...

Sunday, September 6, 2015

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuwa Mjamzito

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi...

Friday, September 4, 2015

Faida za Tikiti Maji Kiafya.

Baadhi ya vyakula vimekuwa vikifurahisha pale vinapoliwa, tikiti maji ni miongoni mwa vyakula hivyo. Kwanza ule mchanganyiko wa rangi zake hulifanya sio tu kuvutia bali kuwa kama ua lililochanua juu ya meza ya mlaji husika. Kama vile haitoshi tunda hili limejaaliwa virutubisho kadha wa kadha vyenye faida kubwa katika afya ya mwanadamu. Licha ya 92% ya tikiti maji kuwa ni maji, bado zile 8% zilizobaki zina faida kubwa sana kiafya jambo linaloonekana...

Wednesday, September 2, 2015

Fahamu Vyakula Vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa.

Watu wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo hii The Fadhaget Sanitarium Clinic imekuletea baadhi ya vyakula vya kula kuondo hili tatizo linakusumbua kwa muda mrefu. Pia kuna dawa maalumu zinapatikana katoika kituo chetu cha tiba kwa njia ya mimea na matunda. Sasa soma hivi vyakula kwa faida yako.  KWA njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, kuuma na hata kuunguruma,...

Health Benefits Of Carrot Juice.

What makes Carrot Juice so nutritious is that it contains a large amount of beta-carotene, vitamins and potassium in it. Improves Immunity And Controls Heart Diseases: Beta-carotene makes it a rich source of vitamin A. It also helps improve the immune system. The abundance of vitamin A in carrot juice can help improve your sight and the daily intake can prevent the onset of heart diseases and strokes (1). Vitamin A in addition keeps...

Monday, August 24, 2015

Pata Elimu kuhusu Aina ya Mtoto unayetaka (Kike au kiume) au Mapacha kupitia Seminar na Dr. Fadhili Emily.

Hakika Elimu ni muhimu sana. The Fadhaget Sanitarium Clinic chini ya Dr. Fadhili Emily tunakukaribisha wewe unayehitaji mtoto kwa kadiri ya mahitaji yako.   Je unahitaji Mapacha?  Unatafuta mtoto wa jinsia fulani labda wa kike au wa kiume?  Je unapenda mwanao afanane na nani? (afanane na baba au mama sana). Karibu katika seminar kubwa itakayofanyika jijini Dar es Salaam Tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka huu. Katika Seminar hii...

Dr. Fadhili Emily Kutua Nchini Tanzania

Dr. Fadhili Emily Bingwa wa magonjwa sugu, Dr. Fadhili Emily, anatarajia kutua nchini hivi karibuni kutoka katika Ziara ya Aliyotembelea nchi mbalimbali Ulaya. Daktari huyo bingwa wa magonjwa mengi ambayo yamekuwa ni sugu, ameahidi kuja na ujuzi zaidi kutoka katika Tafiti alizopitia na Ujuzi aliouongeza katika nchi mbalimbali za Ulaya hasa katika Tiba Sahihi. Hivi karibuni tunategemea kupata Seminar kuhusu Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto,...

Tuesday, August 11, 2015

Sababu 10 Za Kunywa Maji Mengi.

Maji Safi na Salama ni Bora kwa Afya yako. Wengi hutambua kuwa maji ni muhimu sana katika Afya zetu. Imeshauriwa watu wajitahidi kunywa maji mengi kwa manufaa ya afya zao. Kuna faida mbalimbali zinapopatikana kwa kunywa maji ya kutosha: 1. Inaboresha muonekano wa Ngozi yako. Matumizi ya maji ya kunywa inaongoza kuboresha maisha ya seli, moisturize ngozi kutoka ndani, inaboresha yake elasticity na kuzuia ukavu. 2. Kuondosha sumu kutoka kwenye...

Tuesday, August 4, 2015

Risks to Children and The Rate of Radiations From Mobile Phones

Child and Mobile use.  The fastest growing group of mobile phone users are children and young people. This growth is actively encouraged by professional advertising campaigns from the mobile phone industry, extolling how indispensable the phones are to their lifestyles. They have really gone out after the young people with prepay cards and colored handsets. Phone makers often present their products in adverts as essential "back to school"...

Wednesday, July 29, 2015

Shuhuda Aliyeteseka Miaka 10 Bila Kupata Mtoto, Hatimaye Atoa Ushuhuda Baada ya Kupata Mtoto.

Shuhuda ajulikanaye kwa jina moja tu la Bi. Sophia ametoa ushuhuda wa kupata mtoto baada ya kupata matibabu kutoka The Fadhaget Sanitarium Clinic. Bi. Sophia akiwa na mwanae. Bi.Sophia amesema kuwa kwa muda wa miaka 10 amekuwa akitafuta mtoto lakini hakubahatika kupata mtoto. Kupitia matibabu kutoka kwetu aliweza kupimwa, na baada ya kupimwa akapatiwa dawa na sasa analea mtoto. The Fadhaget Sanitarium Clinic wamekuwa ni mabingwa wa kutibu magonjwa...

Sunday, July 19, 2015

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni...

KUTOKUPEVUKA KWA MFUMO WA UZAZI (HYPOGONADISM)

Hali hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au glandi hizi ni korodani kwa mwanaume na ovari kwa mwanamke. CHANZO CHA TATIZO Tatizo hili linaweza kuwa linatokea tangu kuzaliwa au linatokea katika mfumo mzima wa mwili. Kwa tatizo la kuzaliwa nalo, korodani au vifuko vya mayai huwa havifanyi kazi ya kuzalisha vichocheo au homoni zinazohitajika ambapo kwa korodani...

Friday, July 17, 2015

Utafiti wa Jinsi Mbu anavyoweza Kutafuta Chakula Chake.

Mbu Utafiti mpya umebaini kwamba mbu hutafuta kitu cha kula kwa kutumia vigezo vitatu, Harufu,  Macho na  Joto. Utafiti huo unasema kuwa mbu anaweza kufahamu aliko mwanadamu kupitia hewa ya kaboni ambayo watu hupumua nje. Inasemekana mbu hunusa hewa hii kiasi cha mita 50. Wanasayansi wamesema kwamba walimfuatilia mbu mwenye njaa, ndani ya mtaro uliofunikiwa. Kisha waligundua kwamba mbu hao walianza kunusa nusa hewa ya kaboni, na kutema...

Wednesday, July 15, 2015

Technology and It's Hazardous on Health.

It's hard to imagine life without cellphones, BlackBerrys and WiFi. But some people believe the technology that makes modern life so convenient may be hazardous to our health. Mobile communications devices, along with microwave ovens, power lines, cellphone towers and wireless base stations, generate electromagnetic fields, a form of low-frequency radiation. EMFs have been studied as a possible factor in conditions from cancer to cognitive...

The Fadhaget Sanitarium Clinic Ni Namba Moja Nchini kwa Matibabu Kamili ya Uzazi na Magonjwa Sugu.

Sasa The Fadhaget Sanitarium Clinic tumefanikiwa kuingia katika Namba ya kwanza nchini Tanzania kwa Kuwasaidia kikamilifu wanawake wanaotafuta uzazi. Riport zilizotufikia Asilimia 90% ya waliofika wakisumbuliwa na  Uvimbe wa kizazi, Kuziba kwa Mirija ya Uzazi, na Ugumba au kutokushika Mimba. Wamerudisha taarifa nzuri kuwa wamefanikiwa kupitia dawa Zetu zitokanazo na Sayansi ya mimea Asilia.  The Fadhaget Sanitarium Clinic Ni Kitengo...

Monday, July 13, 2015

FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA-2

NiLiaNza wiki iliyopita kueleza kinachosababisha kutoshika mimba. Leo naendelea kufafanua. Kuna njia au aina mbili za wanawake kushindwa kushika mimba au kwa maneno rahisi, ugumba kitaalamu Infertility,  ambao unatambuliwa kitabibu. Aina moja huitwa kitaalamu Secondary infertility na aina nyingine huitwa Primary infertility. Ugumba unaotokea baadaye maishani hujulikana kitaalamu kama Secondary infertility Ugumba huu hugundulika pale...

Sunday, July 12, 2015

A New Study Shows That Use of Mobile Phones Could Cause Cancer.

Weizmann Institute of Science in Rehovot A new study published by New Scientists states that the use of mobile phones for a long duration could eventually cause cancer. The study which was conducted by Weizmann Institute of Science in Rehovot, Israel revealed that using the mobile phone for a meager five minutes could generate cell growth or division through particular pathways that are often used by cancer only. Prof Rony Seger Prof Rony...

Kuzuia na Kudhibiti Kupanda Kwa Shinikizo La Damu.

Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuunganishwa na kifaa cha kurekodi shinikizo. Kifaa hicho hurekodi vipimo viwili. Kwa mfano, chaweza kurekodi kipimo cha 120/80. Nambari ya kwanza huonyesha kipimo cha shinikizo la damu wakati moyo unapopiga (systole). Nambari ya pili huonyesha kipimo cha shinikizo...