
Ni matumaini yangu kuwa, u-bukheiri wa afya mpenzi msikilizaji na uko tayari kutegea sikio sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Ijuwe Afya Yako. Leo katika sehemu hii ya pili ya muendelezo wa makala ya magonjwa ya zinaa nitazungumzia kuhusu ugonjwa wa Chlamydia ambao ni ugonjwa wa zinaa unaoongoza kwa maambukizi duniani. Ni matumaini yangu mtajumuika nami hadi mwisho wa kipindi, karibuni. Kwanza kabisa tunachukua fursa hii kuelezeachlamydia ni nini?...