Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Friday, March 25, 2016

Huduma Ya The Fadhaget Sanitarium Clinic Imezidi Kukua kwa Kasi sana. Zifahamu Sababu zake.

The Fadhaget Sanitarium Clinic imezidi kuongeza matawi yake kote nchini. Hii ni kutokana na ubora ambao imekuwa ikitoa kwa wateja wake. Tunajitahidi sana kuhakikisha kuwa tunawasaidia watu mbalimbali wanaofika kwetu na tumehakikisha huduma yetu ikiwafurahisha. Tunazidi kuongeza ubora wetu na tunazidi kuhakikisha kuwa watu wengi wanapona na kufurahia Afya zao tena. Waliokata tamaa katika magonjwa ya uzazi, jinsia, magonjwa sugu na ambayo imeshindikana...