
Baada ya kilio cha wakazi wa ziwa kutoka na magonjwa mbalimbali yanayowasumbua.
Dr. Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinick aliamua kufunga safari kutoka Dar es Salaam na kuelekea
Mwanza kwaajili ya kupeleka huduma Fadhaget Sanitarium Clinic kwa lengo la
kutatua magonjwa yanayowakumba ndugu zetu wa kanda ya ziwa Mwanza.
Wananchi walipokea kwa shukrani kubwa wazo la kuanzisha huduma katika maeneo
yao ili kupunguza idadi ya wagonjwa wa kanda...