Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, May 23, 2012

MUDA WA KUTESEKA NA MAGONJWA UMEKWISHA KUTANA NA DOKTA FADHILI EMILLY UPONE KWA NJIA YA DAWA ZA MIME NA MATUND...

Sunday, May 20, 2012

FADHAGET SANITARIUM CLINIC CD KUPATIKA SASA-Dr. Fadhili Emily Dokta Fadhili amesema sasa unaweza kupata mafundisho kuhusiana na huduma za tiba zinazotolewa na Sanitarium Clinic iliyoko Mbezi Beach Tangi Bovu, Tandika Majaribio-Dar es Salaam Tanzania Amewaomba watu wote kununua CD hii ili uweze kujifunza ni jinsi gani unaweza ukatibiwa magonjwa sugu kwa njia ya mimea na matunda. Kama ungependa kujua zaidi jinsi ya kupata hizi CD, tafadhali...

Wednesday, May 9, 2012

FADHAGET SANITARIUM CLINIC Dokta Fadhili Emily wa Fadhage Santarium Clinic Ilianza mnamo mwaka 27/7/2011, ilikuwa na umahiri mkubwa sana na wengine walichukulia matibabu ya jadi. Lakini kupitia Fadhili Emily alihakikisha zana za ligha mbaya iliyokuwa ikipotosha huduma hii ya tiba halisi ya matunda na mimea inatambulika kama huduma sahihi yenye vipimo vya kisasa vyenye kutambulika kisayansi na kuvunja kauli mbaya za watu kusema ni...

"GET TOGETHER PARTY" YAFANA NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL USIKU WA JANA Dokta wenu nilibahatika kufika mahali pale kushirikiana na wenzangu katoika kuhakikisha shughuli ya mtangazaji wetu Erick Brighton inakamilika Nilifurahi sana kukutana na watu amba sijawahi kukutana nao, na niliweza kubadilishana mawazo na kutiana moyo katika kazi ya BWANA. Uimbaji na vichekesho vilinifanya nifurahi sana, na nikajifunza kuwa palipo wengi hukosi jambo...

Monday, May 7, 2012

TUJIKUMBUSHE YAYOLIVUMA MITANDAONI KIPINDI CHA NYUMATAASISI YA THE FADHAGET DEVELOPMENT HOPE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA ACOT SPORTS CLUB YA MTONI Tunapenda kumshukuru Dr. FADHILI EMILY ambaye ni mkurugezi wa taasisi ya THE FADHAGET DEVELOPMENT HOPE wanahousika na kusaidia jamii, kutunza mazingira, kupiga vita madawa ya kulevya, migogoro ya mke na mume, umasikini na njaa. Tayari wamekwisha fungua kituo cha afya Tandika wana mitambo maalumu...