Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, January 20, 2016

Je unafahamu Undani Kuhusu Endometriosis?

Je unafahamu Undani Kuhusu Endometriosis? Dr Fadhili Emily ameelezea vyema matatizo hayo na jinsi ya kudhibiti. Tazama video za mafunzo ya kiafya kupitia Channel Hii ya Dr. Fadhili Emily na pia Fuatilia habari zaidi katika account yake ya instagram ya @fadhaget. ...

Friday, January 1, 2016

Tunapenda kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya

Kitengo Cha Sayansi ya Tiba Asilia, The Fadhaget Sanitarium Clinic kinapenda kuwatakia Heri na Baraka za Mwaka Mpya. Tutazidi kuboresha huduma zetu pote nchini kwa kusaidia wenye matatizo mbalimbali ya kiafya kwa kutumia Tiba Asilia Kutibu.  ...