Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Sunday, September 27, 2015

Dr Fadhily Emily On Interview at Times FM.

View Dr Fadhily Emily's Photos on the interview at Times FM Radio, Dar es Salaam Tanzania.   ...

Monday, September 7, 2015

MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-2

Tuliwahi kuzungumzia kuhusu wanawake wanaokumbwa na tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi na tukawasihi kwamba wanaweza kutumia mti wa mlonge ili kutatua tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi, lakini kwa ufupi tu wangepata kujua ni jinsi gani wanaweza kukumbwa na tatizo kama hili: VYANZO Vyanzo vya tatizo la kuvimba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke ni kama vile: Kukumbwa na bakteria mbalimbali sehemu za siri, lakini hili kwa upande...

Sunday, September 6, 2015

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuwa Mjamzito

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi...

Friday, September 4, 2015

Faida za Tikiti Maji Kiafya.

Baadhi ya vyakula vimekuwa vikifurahisha pale vinapoliwa, tikiti maji ni miongoni mwa vyakula hivyo. Kwanza ule mchanganyiko wa rangi zake hulifanya sio tu kuvutia bali kuwa kama ua lililochanua juu ya meza ya mlaji husika. Kama vile haitoshi tunda hili limejaaliwa virutubisho kadha wa kadha vyenye faida kubwa katika afya ya mwanadamu. Licha ya 92% ya tikiti maji kuwa ni maji, bado zile 8% zilizobaki zina faida kubwa sana kiafya jambo linaloonekana...

Wednesday, September 2, 2015

Fahamu Vyakula Vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa.

Watu wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo hii The Fadhaget Sanitarium Clinic imekuletea baadhi ya vyakula vya kula kuondo hili tatizo linakusumbua kwa muda mrefu. Pia kuna dawa maalumu zinapatikana katoika kituo chetu cha tiba kwa njia ya mimea na matunda. Sasa soma hivi vyakula kwa faida yako.  KWA njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, kuuma na hata kuunguruma,...

Health Benefits Of Carrot Juice.

What makes Carrot Juice so nutritious is that it contains a large amount of beta-carotene, vitamins and potassium in it. Improves Immunity And Controls Heart Diseases: Beta-carotene makes it a rich source of vitamin A. It also helps improve the immune system. The abundance of vitamin A in carrot juice can help improve your sight and the daily intake can prevent the onset of heart diseases and strokes (1). Vitamin A in addition keeps...