Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, November 19, 2012

AFRED NA SALOME WAISHUKURU FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA KUPATA UPONYAJI

ALFRED APONA KATIKA CLINIC YA FADHAGET SANITARIUM ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, BAADA YA HOSPITALI ZINGINE KUSHINDWA KUMTIBU MAGONJWA YALIYOMSABABISHIA KUTOTEMBEA KWA MUDA MREFU. Bwana Afred atoa ushuhuda wake bada ya kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu, na haya ndiyo aliyoyasema: ALFRED Nachukua nafasi hii kuwashukuru FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH DAR ES SALAAM kwasababu nilikotoka Mungu anajua, wakati nikiwafikia...