Jina la
Flora Mbasha sio geni masikio mwa watu wengi duniani. Flora Mbasha
amejulikana kutokana na uimbaji wake wa nyimbo za Injili nchini na nje
ya Tanzania. Huduma yake hii imewagusa watu wengi sana na na kusabaisha
watu kuweza kuokoka.
Rumafrica
ilibahatika kuhudhuria tamasha la Flora Mbasha siku ya Jumapili
14/06/2015 katika ukumbi wa Ubungo Plaza na kuweza kujifunza mengi sana
kutoka kwa mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania Flora Mbasha.
Kwanza,
kitu nilichojifunza ni KUJIAMINI, Flora Mbasha ikiwa ni mara yake ya
kwanza kufanya tamasha katika jiji la Dar es Salaam, aliweza kuthubutu
kufanya tamasha lake la LIVE akiwa na bendi yake ambayo ilitambulishwa
siku hiyo kwa mara ya kwanza kabisa.
Pili, ni UWEZO wa kutawala jukwaa, Flora alionekana kulimudu jukwaa kama vile ameshawahi kufanya tamasha la LIVE,
Tatu,
HISIA, Flora Mbasha aliweza kuimba nyimbo zake za kuabudu kwa hisia
sana mpaka ikasababisha watu wote kukaa kimia huku wengine wakitoa
machozi, ilifika kipindi hata mgeni Rasmi Mh. Freeman Mbowe kubaki
akishangaa jinsi Flora Mbashaalivyokuwa akiimba kwa hisia, Flora Mbasha
aliweza kutoa machozi baada ya kumaliza kuimba wimbo wake wa kuabudu,
na hii inaonyesha ni jinsi gani hata yeye mwenyewe anavyoweza kuguswa
na kile anachokiimba.
Nne,
KUPENDWA, nasema hivi ni kutokana na jinsi nilivyoshudia watu kutoka
Mwanza, Kigoma na Morogoro waliokuja kumuona Flora Mbasha akiimba baada
ya kukaa kimia sana kwa muda mrefu. Mwimbaji mmoja anayeitwa Ency
Mwalukasa alishudia kuwa yeye binafsi anampenda sana Flora Mbasha, na
nyimbo zake huwa zinamgusa sana na kuinua imani yake na Mungu wake.
Sasa
tuone matukio haya, na tutazidi kuwaletea matukio mengine, zidi
kutembelea blogu yetu hii. Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715 851 523
KIPINDI CHA RED CARPET
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Glory Mainah
Dancers wa mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper
MC na mwimbaji wa nyimbo za Injili Sarah Mvungi
MC na mwimbaji wa nyimbo za Injili Sarah Mvungi
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper na MC Sarah Mvungi
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper na MC Saraha Mvungi
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper, mtoto wa MC Saraha Mvungi na MC Saraha Mvungi
Neema Gasper na dancers wake
Mdau wa Flora Mbasha
KIPINDI CHA WAIMBAJI WAALIKWA KUMTUKUZA MUNGU KWA UIMBAJI
KIPINDI CHA WAIMBAJI WAALIKWA KUMTUKUZA MUNGU KWA UIMBAJI
Furaha Isaya
Furaha Isaya akifuatia MC Joyce Omben, Christina Mbilinyi
Kustoho ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Matai
Glory Mainah
Meneja wa The Fadhaget Sanitarium Clinic, Lonely
Waimbaji wa nyimbo za Injili Jesca Sanga (kulia) na Judy Sanga watoto Mch. Burton Sanga
Neema Gasper
Neema Gasper
MC Bony Magupa
MC na mwimbaji wa nyimbo za Injili Saraha Mvungi
Mkurugenzi wa Grace Products LTD (kushoto) ambaye ni mfadhili wa tamasha hili
Mtoto wa MC Saraha Mvungi akiimba
MC Joyce Ombeni
Christina Matai
Lilian Kimola (kushoto) na Furaha Isaya
Christina Mbilinyi mwimabji wa nyimbo za Injili Tanzania
Kutoka kulia ni Glory Mainah, Neema Gasper, Saraha Mvungi na mwanae Sarah Mvungi
Kulia ni Elizabeth Ngaiza
Mwimbaji wa Nyimbo Za Injili Elizabeth Ngaiza
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Celline Theophil (kulia) akiwa na rafiki yake
Mtangazaji wa Praise Power Redio, Mwimbaji wa nyimbo za Injili, MC na mtangazji wa Channel Ten Bony Magupa akiimba
Ambwene Masongwe akiimba huku wadau wake wakimpongeza kwa fedha
Dada alitesoma Risala akimtunza Ambwene Mwasongwe
Elizabeth Ngaiza
Elizabeth Ngaiza
Elizabeth Ngaiza
Kutoka kulia ni Christina Mbilinyi, Christopher Mwahangilam (hajajulikana), Furaha Isanya, MC Joyce Ombeni, MC Bony Magupa
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Glory Mainah
Christina Mbilinyi na Christopher Mwahangila
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper
Enct Mwalukasa (kulia)
Rafiki yake Flora Mbasha kutoka USA
Kutoka kulia ni Glory Mainah, Elizabeth Ngaiza na Sarah Mvungi
Dancers wa Mch, Maximillian Majeshi Majeshi
Jesca Sanga (kushoto) na Judith Sanga
Christopher Mwahangila
Mama mzazi wa Flora Mbasha
Christopher Mwahangila
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Gasper akimpongeza Christopher Mwahangila
Glory Mainah na Elizabeth Ngaiza (kulia)
ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU HII KWA MATUKIO MENGINE YA FLORA MBASHA
0 comments:
Post a Comment