Na Dk. Fadhil Emily
Fadhaget Sanitarium Clinic inapenda kukupa maelezo kuhusiana na lishe ambayo inaweza kusaidia kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Imesekekana kuwa baadhi ya vyakula vikitumika mara kwa mara vyaweza kupunguza na kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na maumivu. Tumejaribu kuelezea baadhi ya vyakula ambavyo tunaamini kuwa vikitumika vinaweza kuondoa tatizo hilo, navyo ni:-
1. Mdarasini + Asali (Sermon + Honey)
Hiyo imedhibitishwa na watalaamu kuwa unweza kutibu upungufu wa nguvu wa kiume. Unapotumia mdarasini pamoja na asali mara kwa mara unaongeza nguvu za kiume na kuondoa maumivu unayoyapata.
2. Maua ya Yerusalem (Star
of Jerusalem)
Ikiwa mtu
mwenye upungufu wa nguvu za kiume atakuwa akitafuna vikonye vitatu vya maua meupe ya Yerusalem.
Acaroids Acid ina virutubisho muhimu ambapo watu wa biolojia wameamini kuwa kiwango kikubwa kinauwezo wa
kuratibu swala hilo
la nguvu za kiume
3. Karanga
mbichi zisizokobolewa
Watu wa
biolojia (Biologist) wanasema karanga zisizokobolewa zina protini (protein)
muhimu ambayo inamchanganyiko wa Carolis ambayo kwa hakika imethibitishwa kuwa,
nayo ni msaada mkubwa kwa upungufu wa nguvu za kiume.
Matatizo ya nguvu za uzazi ikiwa ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume na homoni (hormone) za kike, kitalaamu ni kasoro ambazo husababishwa na vijidudu na bacteria ambazo kwa hakika ukitaka kupata uponyaji, yakupasa utumie viinirishe au virutubisho vinavyotoka katika vyakula mbalimbali ambavyo hakika vyaweza kuratibu mfumo wa homoni (hormone) moja kwa moja na si kutumia sindano na vidonge ambavyo havikusaidii kurudisha virutubisho kwani vyatumika kama kupunguza au kupooza kuondoa maumivu tu (Pain Killer).
“Pain Killer” ikishaisha mwili mwako, hali ya zamani ya upungufu wa nguvu za kiume na maumivu hurudi tena na tatizo linabaki pale pale.
Inasemekana kuwa kwa asilimia nyingi vyakula vichache vilivyotajwa hapo juu vikitumika sawasawa na mara kwa mara huweza kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
hali ya tatizo na sio kuponya ila ukitumia hivyo vyakula tulivyoeleza hapo juu unaweza kuponywa nahuo ugonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume na maumivu.
Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi za
Fathaget Sanitarium Clinic Mbezi Beachi Tangi Bovu
Kutana na Dk. Fadhil Emily
Simu: +255 712 705158 | +255 757 931376 | +255 787 705158
Blogu: fathaget.blogspot.com

Hello Doctor,
ReplyDeleteMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninakaribia kuoa. Je nitajuaje kuwa nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Asamte