Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Monday, April 14, 2014

DALILI NA SABABU ZA MIGUU/MIKONO KUFA GANZI


Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo
1.Mtu kuhisi ganzi
2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.
3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:
1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu MAUMIVU
3.Uzito mkubwa wa mwili,
4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).
5.Shinikizo la damu(PRESHA),
Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda KWA WINGI.
WATU WENGI SAANA HUKAA NA TATIZO HILI WAKIJUA HALITIBIKI TATIZO HILI SASA LIMEPATA SULUHISHO NA LINAONDOKA.

2 comments:

  1. Nina hisi ganzi mwili mzima kiasi kwamba uoni wangu umepungua sana, nahitaji msaada

    ReplyDelete
  2. Tafadhali wasiliana nasi kupiti namba zetu kicsha utuelekeze vyema tatizo lilivyo nasi tutakusaidia. Pole sana ndugu.

    +255 712 705 158
    +255 757 931 376
    +255 787 705 158
    +255 757 505 158
    +255 774 505 158
    +255 787 505 158

    ReplyDelete