Jamani kuna watu wanataabika hapa duniani na magonjwa sugu. Magonjwa haya wyamesababisha hata uchumi wa nchi kushuka chini, watu wamekuwa hawafanyi kazi kutokana na kuumwa, wamekuwa watu wa kukaa nyumbani na kuwa tegemezi. Dr. Fadhili Emily alitambua hilo na kuamua kutafuta suluhu ya magonjwa haya akishirikiana na vyuo vya kimataifa katika kutafuta dawa za mimea na matunda ambazo zitatibu magonjwa haya sugu.
Zoezi la kuzipata dawa lilifanikiwa na ikabaki sasa kutafuta njia za kuwafikia wagonjwa mikoani kwao, na hii ni kutokana na Watanzania wengi kutokuwa na kipato cha kufika Dar es Salaam kwa matibabu. Dr Fadhili Emily aliamua kufunga safari na kuelekea Zanzibar na huko aliweza kufungua ofisi nyingine ya tiba kwa njia ya mimea na matunda. Wazanzibar waliobahatika kufika mahali hapo walifurahi sana kwa kufikishiwa huduma mlangoni, Kwahiyo Wazanzibar mtapata huduma hii eneo la Zanzibar Unguja. Nikutakie siku njema.
Ofisi mpya ya The Fadhaget Sanitarium Clinic ikiwa katika ukarabati Zanzibar Unguja

0 comments:
Post a Comment