The Fadhaget Sanitarium Clinic ni kituo cha Tiba kilichojikita katika kuhudumia afya za watu wenye magonjwa sugu kwa njia ya mimea na matunda na kumekuwa na mafanikio makubwa sana, watu wamepokea uponyaji wao na hii imesababishia hata kufungua matawi yetu katika mikoa 10 hapa Tanzania.
Kwa kutambua hilo, waumini wengi wamekuwa wakitumia mimea hii ambayo imeumbwa na Mungu na imekuwa msaada mkubwa katika uponyaji wao. Tuone watu wa Mungu wakifamia mimea wakiamini watapokea uponyaji wao.
Kwa kutambua hilo, waumini wengi wamekuwa wakitumia mimea hii ambayo imeumbwa na Mungu na imekuwa msaada mkubwa katika uponyaji wao. Tuone watu wa Mungu wakifamia mimea wakiamini watapokea uponyaji wao.
Mdada akila majani ambayo huduma hiyo wanasema ni chakula kutoka mbinguni mwe!
Kuna mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali, moja wapo ni hii huduma iitwayo Rabboni Centre ministries iliyopo Pretoria nchini Afrika ya kusini, huduma hii iliyochini ya mwanzilishi wake mwalimu ,mchungaji na nabii Daniel Lesego ilianza mwaka 2002. Ni huduma ambayo kwa watu wasioabudu hapo huitilia mashaka kutokana na mwenendo wake.
Kwasasa wapo kwenye mfungo ambao watu hufika kanisani na hatimaye wanaishia kula majani yaliyopo nje ya kanisa hilo akisema kwamba Roho Mtakatifu huongoza mtu kula chochote huku ikidaiwa kuwa manyasi hayo ni chakula kutoka mbinguni.
Inaelezwa kwamba mara baada ya maombi waumini wengi huanza kutapika jambo ambalo kanisani hapo huashiria kwamba mtu amejazwa Roho Mtakatifu.
Lakini kama haitoshi nabii Lesego hufanya maombi huku amewakanyaga watu. Huduma hii imekuwa gumzo nchini humo na nchi jirani kwa jinsi mambo yao yanavyokwenda.
Mnasemaje watumishi kuhusu jambo hili? mwe kula manyasi kweli? mma!
Hapa nabii huyo akikanyaga watu kama njia ya mafundisho yake.
Haa!! angalia jamani, sasa ng'ombe watakula nini jamani???
Mungu tufunulie macho ya rohoni kuyajua mambo haya kama ni wewe au sisi kha!
Hajamaliza bado.
Baada ya manyasi ni mwendo wa kutapika sasa
Picha ya juu na hii huyu ndio nabii Lesego Daniel mwenye maono na huduma hii.
Watu wanajaa kwenye huduma.
Mwe! kama uti wa mgongo shida hii dawa
Maombi yanaendelea.
Waumini wakikaribisha mwaka mpya.
Nabii anafundisha huku skuna yake imekanyaga mtu, sijui
Tembelea TOVUTI YAO Picha zote kwa hisani ya ukurasa wao wa Facebook.
Wamesema ni maono kama Mungu kawaonesha im speachless
ReplyDelete