AJALI hii ilitokea jana eneo la Mbanje kwenye barabara kuu ya Lindi -
Dar katika Manispaa ya Lindi ikilihusisha gari la abiria aina ya Toyota
Dyna linalofanya safari zake kati ya Lindi na Mpatwa lenye namba za
usajili T 412 ASA. Gari hilo lilipinduka baada ya dereva wake kushindwa
kulihimili.






Taswira kutoka eneo la ajali iliyotokea eneo la Mbaje, Lindi.
Taswira kutoka eneo la ajali iliyotokea eneo la Mbaje, Lindi.
0 comments:
Post a Comment