KAMPENI ya kuchangia
matibabu ya saratani ya matiti nchini imezinduliwa leo na Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, jijini Dar es
Salaam ambapo amewataka wananchi kuchangia shilingi 1,000 kwa kila mtu
ili kuunga mkono hatua hiyo.
Kampeni hiyo inaendeshwa na Asasi ya Saratani ya Matiti Tanzania (Tanzania Breast Cancer Foundation) na wataalam wake wanasema ugonjwa huo unatibika ukiwahiwa mapema
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Kulia ni Bingwa wa Magonjwa ya Saratani Hospitali ya Ocean Road, Dk. Dominista Kombe (katikati); Mkurugenzi wa Habari hospitali hiyo, Assah Mwambene; Waziri Simba na Mkurugenzi wa Asasi ya Saratani ya Matiti Tanzania, Angela Kuzilwa, wakiwa katika uzinduzi huo.
Wanahabari wakiwa kazini.
.
Sehemu ya hotuba ya waziri Simba.

0 comments:
Post a Comment