Karibu Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunapenda kukukaribisha katika Kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia.

Kitengo Cha Sayansi Ya Tiba Asilia

Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisaidia wengi katika matibabu na kutengeneza dawa bora kabisa kiafya.

Je Unapenda Kufahamu Jinsi Ya Kupata Mapacha?

Tunafundisha jinsi ya kupata jinsia unayotaka, jinsi ya kupata mtoto kama umekosa mtoto kwa muda mrefu. Pia hata jinsi ya kupata watoto mapacha tunaweza kukusaidia.

Tunapatikana Katika Mikoa Zaidi ya 10 Tanzania

Tunazidi kuongeza matawi yetu nchini Tanzania na Nje ya Nchi. Kwa sasa tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 na tunazidi kuongeza matawi yetu. Karibu sana.

Wasiliana Nasi

Wasiliana Nasi

Wednesday, March 12, 2014

HABARI KUTOKA MITANDAONI: JE WAJUA SIMU YAKO YA MKONONI YAWEZA SABABISHA UKAZAA MTOTO MTUKUTU? SOMA HAPA



MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo umetaja madhara mengine ya mionzi ya simu za mkononi kuwa ni uharibifu wa manii, mimba, kupungua kwa nguvu za kiume, kupoteza kumbukumbu na kuzaa watoto watukutu.

Pia umeeleza kuwa matumizi kupita kiasi ya simu hizo, husababisha mtindio wa ubongo na upungufu wa udadisi kwa watoto tangu udogo wao.

Hata hivyo, utafiti huo uliofanywa na Shule ya Tiba na Dawa ya Chuo Kikuu cha Yale, Marekani na kuripotiwa na Gazeti la The Telegraph la Uingereza, umepingwa na watafiti wengine, wakisema haujakidhi baadhi ya vigezo ili kuuthibitisha.
Kiongozi wa jopo la utafiti huo, Profesa Hugh Taylor alisema utafiti huo ulioanzia kwa panya, baadaye ulithibitika kwa binadamu.

Profesa Taylor ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uzazi, Magonjwa ya Wanawake na Sayansi ya Uzazi, alisema: “Tulikuwa na panya wenye mimba katika maboksi na tuliwawekea simu juu ya vichwa vyao. Panya tuliokuwa tumewaweka katika bwawa lile, nusu yao walikuwa wazima na nusu yao walikufa. Panya waliokuwa hai tuliwaacha wajifungue na baada ya kujifungua, tukaanza kutafiti watoto wao.”
“Panya ambao hawakuwa karibu na simu za mikononi walionekana kuwa werevu. Kumbukumbu zao hazikupungua ikilinganishwa na panya walioathiriwa na mionzi ya simu za mikononi ambao katika vipimo vya awali wakiwa tumboni, walionekana kuhangaika.”

“Panya hao wenye mimba waliowekwa kwa siku 17 katika boksi hilo na simu kupigwa mfululizo juu ya vichwa vyao, walizaa watoto watukutu na waliokosa kumbukumbu.”
Aliongeza: “Matokeo hayo yanaweza kutokea kwa binadamu pia. Mjamzito anayetumia simu ya mkononi muda mwingi, anaweza pia kuzaa taahira.”

Utafiti huo umebaini kuwa kati ya asilimia tatu na saba ya watoto wenye umri wa kwenda shule, wana tatizo la utukutu linaloweza pia kuathiri maendeleo yao kitaaluma. Alisema kiwango hicho kimekuwa kikiongezeka kwa asilimia tatu kila mwaka tangu mwaka 1997.

Profesa Taylor alisema anaamini kuwa simu za mikononi pia ni sababu ya baadhi ya watoto kukosa adabu na pengine kutokuwa makini katika mambo mbalimbali wanapokuwa watu wazima.

“‘Huu ni utafiti wa kwanza unaoonyesha ushahidi wa madhara ya mionzi ya simu za mkononi. Tumeonyesha kuwa matatizo ya tabia katika panya yalitokana na mionzi ya simu za mkononi waliyoipata wakiwa tumboni,” alisema Profesa Taylor na kuongeza:

“Kuongezeka kwa utovu wa nidhamu kwa watoto kunaweza kuwa sehemu ya madhara ya mionzi ya simu, ambazo mama zao walikuwa wakizitumia wakati wao wakiwa bado tumboni.”

Profesa Taylor alifanya utafiti huo kwa kuwachukua panya 33 wenye mimba na kuwaweka kwenye boksi lenye nyavu kisha kuweka simu juu yake. Simu hiyo ilikuwa ikiita mfululizo kwa siku 17.
Pia aliwaweka panya wengine 33 katika mazingira ya aina hiyo lakini hakuweka simu juu ya boksi hilo.
“Zaidi ya watu 160 waliofanyiwa utafiti wa aina hiyo pia walionekana kuwa na tofauti za kitabia ambayo inaweza kuhusishwa na utafiti huo.

Hata hivyo, Profesa Taylor alisema kuna haja ya kuendelea kufanya utafiti zaidi ili kubaini sababu ya mionzi hiyo ya simu kuathiri watoto walio tumboni mwa mama zao na namna bora ya matumizi ya simu kwa wanawake wajawazito.

Mtaalamu huyo anatarajia kuungana na wenzake akiwamo Dk Devra Davis, anayeongoza Shirika lisilo la Kiserikali la Mazingira na Afya la “Environmental Health Trust” kwa ajili ya utafiti zaidi kuhusu madhara ya simu.

Mwaka 2011, Shirika la Kimataifa la Afya Duniani linalojihusisha na uchunguzi wa kansa, lilidai kuwa mionzi ya simu inaweza kusababisha kansa na hivyo jopo hilo la madaktari linaendelea na utafiti zaidi.

Nchi nyingine duniani ikiwamo Ufaransa, ilipiga marufuku kwa kampuni za matangazo ya simu kwa watoto kutokana na hatari mbalimbali zinazoweza kuwatokea.

Utafiti huo uliochapishwa katika Jarida la ‘Scientific Reports’ wiki iliyopita
Lengo la utafiti
Ongezeko la matatizo ya magonjwa wa mishipa ya fahamu, matatizo mbalimbali ya ubongo pamoja na magonjwa ya akili, ni mojawapo ya mambo yaliyochagiza kufanyika kwa utafiti huo.
Dk Hugh alisema simu za mkononi hazina madhara kwa watu wazima kama inavyodaiwa na wengi, lakini ni vifaa vyenye kuleta athari kubwa kwa watoto walio tumboni.

“Matatizo yanayowapata watoto wa binadamu walio wengi hivi sasa ikiwa ni pamoja na magonjwa ya mtindio wa ubongo, mishipa ya fahamu inasababishwa na matumizi ya simu za mkononi kwa mama wajawazito pamoja na kukaa nazo jirani kwa muda mrefu.”

“Haijalishi mama anaongea na simu au la! Mionzi inapenya na kuleta madhara pia kusababisha kazi ya ukuaji wa mtoto katika ubongo kulegalega, wapo ambao wanalala na simu kitandani zikiwa zimewashwa... hii ni hatari zaidi labda iwe imezimwa,” anasema Dk Hugh.

Watalaamu Dar
Akizungumzia utafiti huo jana, Mkurugenzi wa Teknolojia ya Nyuklia wa Taasisi ya Mionzi Tanzania (Taec), alisema ni vigumu kuukosoa utafiti huo kwa sasa hadi hapo Shirika la Afya Duniani (WHO), litakapotoa tamko sahihi ingawa alisema mionzi ina athari kubwa kwa binadamu.

“Nilipata kusoma utafiti huo katika mitandao siku mbili zilizopita, ni utafiti ambao umewekwa wazi, kwa kweli hata mimi ulinishtua, lakini ni mapema kuzungumzia hilo kwa sasa. Kwani utafiti huo bado unakinzana kwa mambo mengi, licha ya kupingwa pia na baadhi ya wanasayansi.

“Nadhani ni muda mwafaka sasa kufanya uchunguzi kwa binadamu na si kutumia panya kama walivyofanya Chuo Kikuu cha Yale. Hata hivyo, jopo la madaktari pia wanatarajia kufanya kikao chao mapema wiki hii, labda tutapata maoni mapya.”

Alisema kwa kawaida mionzi ina madhara kwa binadamu, lakini bado kuna maswali mengi kwa wanasayansi duniani ambayo bado hayajapatiwa ufumbuzi, hivyo inawawia vigumu Taec kutoa ufafanuzi wowote kuhusu athari hizo.

Meneja wa Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy alisema utafiti huo unaweza kuwa msaada mkubwa kwa nchi kama Tanzania ambayo hivi sasa ndiyo imechipukia katika matumizi ya simu za mkononi.

Source: Vituko Vya Mtaa

Tuesday, March 11, 2014

MATUNDA NI MUHIMU SANA KATIKA MWILI WAKO

The Fadhaget Sanitarium Clinic tunakushauri uanze sasa kutumia matunda kwaani ya umuhimu sana katika mwili wako. Kuna mambo mengi unaweza kufaidika katika utumiaji wa matunda katika mwili wako. Pia unashauriwa kupenda sana kutumia mbogamboga mara kwa mara kwa afya yako.


Dr. Fadhili Emily

LEO TUTAANGALIA FAIDA ZA MACHUNGWA MWILINI MWAKO

Faida ya jamii ya machungwa watu wengi kujua. Ni muhimu sana ladha na matunda. Labda kwa sababu hii kwamba wanawake na kuja na chakula kulingana na matunda chungwa. Ingawa chakula machungwa sio mpya. Bibi Royal katika Ufaransa, pia, akaketi juu ya chakula kama hiyo.

Pamoja na hayo, si tu kupoteza uzito lakini pia kudumisha freshness wa ngozi, urembo, nywele, kutakasa mwili na kukuza afya kwa ujumla. Hivyo, kutaja kwanza ya chakula machungwa unaweza kuhusishwa na karne ya 15. Kisha hadithi juu yake, kuja na. Favorite Ukurasa wa Mfalme Louis 14 Ninon de Laclos ni walipanga kila siku kwa ajili ya machungwa kumi.

Pamoja na kwamba ni gharama kubwa sana kwa mfalme, lakini matokeo yalikuwa na thamani yake: uzuri wake na ngozi walikuwa ili kamili, bila kujali umri. Tangu wakati huo, kama vile matunda jamii ya machungwa machungwa akawa maarufu. Orange ni mwakilishi mkuu wa familia ya matunda jamii ya machungwa.
image001

Ana ladha brightest, vitamini C, ambalo kuzuia au kuepuka SARS na baridi ya kawaida. Aidha, machungwa ina ladha wengi, ni rahisi kuharibu microbes. Na muhimu mafuta imefikia katikaOrange, kufanya harufu na ladha ya matunda zaidi expressive. Matumizi ya mara kwa mara ya machungwa husaidia kuondoa sumu mwilini.

Kwa hivyo wengi sifa muhimu, machungwa, na kuvutia ya tahadhari ya wanawake. Naye, kwa upande wake, alikuja na chakula na msingi juu yake. Kukubali machungwa juu ya ratiba maalum kwa kiasi haki inaweza kuzuia njaa kwa muda. Kalori mwili si kufanya hivyo maalum, lakini faida kwamba nitakupa sana.

Basi nini uhakika machungwa mlo? Kuna wawili variants kuu yake: mlo kwa siku 14 na siku 21. - Chakula cha mchana katika machungwa na yai kuchemsha, unaweza kunywa lita 0.3 ya mtindi na kuongeza michache crackers; - Kwa chakula cha jioni nyanya mbili, ya wanandoa wa mayai kuchemshwa na majani ya saladi. Katika mlo machungwa kwa muda wa siku 14 kwa kutumia mayai tu siku ya kwanza. Kisha kuchukua nafasi yao nyama kuchemsha katika siku ya pili na ya tatu.

Next siku mbili, mabadiliko ya nyama ya curd. siku ya sita ya samaki kila siku mvuke (kuchemsha au Motoni inawezekana). Wiki ijayo ni sawa na ya kwanza kuanza na mayai na kuishia katika samaki. wiki mbili machungwa chakula husaidia kupoteza fedha juu ya 7 na kusafisha mwili vizuri.

Chaguo pili machungwa mlochakula kwa muda wa siku 21 (wiki tatu). Ni atawaokoa kutoka uzito kupita kiasi na 15kg. Chakula Hii ni zaidi rigid na muda mrefu kuliko mtangulizi wake.

Kulingana na haja yake kwa kuzingatia madhubuti na mahitaji yafuatayo: no sigara, pombe, na kuondoa kabisa kutoa juu ya kahawa na vinywaji aina hiyo. Mazoezi ya viungo katika kipindi hiki lazima dhaifu. Hivyo, chakula machungwa kwa muda wa siku 21 kama ifuatavyo: - Wakati wa wiki ya kwanza ya mlo wako wa kila siku lazima na wajumbe tu wa bidhaa hizo hadi pauni machungwa, kuchemsha mayai mawili yanaweza kuoshwa chini na maji ya madini, lakini si zaidi ya lita 2 kwa siku.

- Katika wiki ya pili kuendelea kula vizuri, lakini kuongeza oatmeal, kuchemshwa katika maji, unsalted na bila mafuta. - Wiki ya tatu hupunguza kiasi cha maji ya kunywa kwa siku hadi lita moja; uji mabadiliko ya matunda au mboga ambazo zinaweza kuliwa wakati wowote katika siku kwa wingi yoyote. Kuna wengi tafsiri ya machungwa mlo. Wao hutofautiana idadi ya siku ya chakula chakula, na kunywa inaruhusiwa.

Lakini jambo inabakia ile ile: kiwango cha thamani, kusafisha mwili wa kuendeleza na kurejesha uzuri na softness, kukata rufaa kwa ujumla, na, hivyo, hali nzuri.

TUMIA MATUNDA MENGINE KAMA HAYA HAPA CHINI KWA AFYA YAKO


Dr. Fadhili Emily

















Thursday, March 6, 2014

THE FADHAGET SANITARIUM CLINICM - KITENGO CHA SAYANSI YA TIBA ASILIA TUMEFUNGUA MATAWI SABA MIKOANI



Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Ckinic
Tunahusika na kutibu magonjwa karibia yote, hasa yaliyo sugu kama vile vidonda vya tumbo, figo kufa ganzi, miguu kuwaka moto, kuvimba miguu na unapobonyeza linabaki shimo, kisukari, pumu, moyo, mapafu, sickle cell (upungufu wa damu), kuziba kwa mirija ya uzazi, uvimbe wa kizazi, matokeo ya dalili za hatari katika via vya uzazi kama vile kuwashwa, vipele kutokea pembeni mwa mlango wa uzazi, kutoka kwa uchafu kama maziwa ya mgando katika eneo la uzazi, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa, mimba kutoka, kuzaa mtoto jinsia unayotaka, matatizo ya chango la uzazi, upungufu au ongezeko la siku za kike yaani hedhi, upungufu wa kinga mwilini (CD4 na CD8), na dalili nyingine za hatari kiafya.


The Fadhaget Sanitarium Clinic tunapatikana

1. DAR ES SALAAM
Mbezi Beach Afrikana njia ya Salasala


2. MWANZA

Tunapatika Mwanza mjini Kilimahewa kituo cha Mnazi mmoja barabara mpya ya lami

3. ARUSHA
Arusha tunapatikana round about ya Florida nyuma ya Galax

4. MBEYA
Mbeya tunapatikana mjini karibu na Shule ya Msingi Sisimba au karibu na Mbeya Peak Hotel

5. ZANZIBAR
Zanznibar tunapatikana Unguja barabara kuu ya Amani, kituo cha Gongo Store

6. TANGA
Tanga tunapatikana Tanga mjini barabara ya 16 kituo cha Mzimuni ni nyumba ya 7 kushoto kama unaelekea jela ya watoto.

7. DODOMA
Dodoma tunapatikana Dodoma mjini karibu na soko kuu Majengo ni ghorofa ya kwanza kulia kwako kama unaelekea stand ya Mshikamano.

Logo au nembo ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

Tupigie kwa ushauri
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158

DR. Fadhili Emily

Fuatilia vipindi vyetu kupitia
1. Star TV: saa 3:30 usiku Jumatatu usiku (kila siku) baada ya idhaa ya BBC London .
2. Radio Free Africa: Kila siku za Jumamosi saa 3:30 baada ya taarifa ya michezo
3. Channel 10: Kila siku za Jumatano saa 11:00 jioni
4. Praise Power Radio: Kila siku za Jumanne na Alhamis saa 2:00 usiku hadi 3:00 usiku.


Mara nyingi watu tumekuwa tukiishi bila kujali afya zetu, pengine kutokuona umuhimu wa afya au kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu afya kwa kutambua hilo The Fdhaget Sanitarium Clinic kitengo cha Sayansi ya Tiba Asilia, tumeamua kuungana na jamii katika kutoa elimu ya afya. Katika vyombo vya habari kama vile TV, vituo vya redio, vipeperushi, CD, DVD, na vitabu vinavyoelimisha kuhusu afya. Hili litatufanikisha kuweza kufahamu umuhimu wa afya zetu.

CD zenye mafundisho juu matumizi ya simu na madhara yake, zinapatikana ofisini kwetu

Tunashauri ndugu zetu jamaa na marafiki umuhimu ya kutibiwa au kujitibu kwa kutumia dawa zitokanazo na mimea na matunda asilia, kwani hazina kemikali yoyote ambazo zaweza kusababisha usumbufu mwingi katika miili yetu. Bali dawa hizi zinatusaidia virutubisho, madini, na vitamin muhimu katika mwili.

Maasai nao baada ya kuhangaika sana kutafuta njia ya kutatua matatizo yao ya magonjwa waliweza kufika The Fadhaget Sanitarium Clinic na kukutana na Dk.  Fadhili Emily kwa vipimo na tiba.

Tunawatakia afya njema na Mungu awabariki
Kutana na DR. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic kwa ushauri na tiba ya afya, waweza kupiga kwa ushauri
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158

DR. Fadhili Emily

THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA VIPIMO NA TIBA
UMUHIMU WA KUTIBIWA NA DAWA ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA ASILIA

Kutokana na uumbaji wa Mungu ilipendekezwa na Mungu mwenyewe, mwanadamu ajitibu au atibiwe kwa kutumia uasili alioupata katika bustani ya Eden, ambao kwa hakika ni miti, majani na matunda mbalimbali ya porini, ushahidi soma Ezekiel 47:7-12, fungu hili linazungumzia jinsi na namna ya matunda na majani yalivyobarikiwa kwa njia ya uponyaji.

Utumiaji wa dawa zitumikazo na mimea na matunda asilia, humuwezesha mgonjwa apate kujitibu salama pasipo ongezeko la kemikali au sumu yoyote katika mwili, ziwezazo kutokana na dawa za kemikali ambazo kwa hakika tumekuja kupata baada ya mapinduzi ya viwanda, ambapo kwa hakika zimeanza karne ya 19 mpaka karne hii tuliyonayo hivi leo.

Kutana na wahudumu mbalimbali kutoka kona mbalimbali za dunia kuweza kusaidiwa na tiba itokanayo na mimea asilia.

Kwa maoni na ushauri tupigie kwa namba zifuatazo
+255 712 705 158
+255 757 931 376
+255 787 705 158
+255 757 505 158
+255 774 505 158
+255 787 505158
DR. Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinic

Tunamshukuru Mungu kwa kuisaidia The Fadhaget Sanitarium Clinic kupata huu usafiri ambao umekuwa msaada mkubwa sana katika utafutaji madawa maporini na kusaidia wagonjwa wanapokuwa wamezidiwa majumbani mwao au mahali popote pale.

TEMBELEA BLOGU YETU
www.fadhaget.blogspot,com

Sunday, April 14, 2013

ANASTAZIA MALYA APATA UJAUZITO BAADA YA KUTUMIA DAWA KUTOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC


Mimi ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa sinza dare s Salaam, nimeugua kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio. Nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mengi sana yaliyonisababishia kutopata ujauzito, nilikaa na mume wangu zaidi ya  mila saba bila mafanikio mpaka hatimaye mwanangu kuniacha. Nimehangaika hospitali nyingi za kiserikali nikaambiwa

1. Nina uvimbe wa kizazi (Fibroid),
2. Tatizo la kuziba mirija ya uzazi na una maji (Hydrosuphix)
3.  Figo kushoto ina mawe (CaCO3).
4. Vidonda vya tumbo (Ulcer)
5. Moyo
Nimehangaika hospitalinyimgi bila mafanikio, nimejaribu kwenda katika tiba mubadala nikawa naandikiwa madawa ya gharama kubwa na nimetumia hizo dawa bila ya mafanikio. Nimekuwa nikiwaambia ninachoumwa bila ya kupimwa wananipa tu dawa.

Anastazia Malya akiwa katika ofis ya The Fadhaget Saniutarium Clinic

Kwakweli nimelipa hela nyingi mpaka nikauza vitu vya ndani, nikitafuta ujauzito ikashindikana, lakini sikukata tamaa; siku moja nilikuwa nikisikiliza Redio ya Praise Power, nikasikia kipindi cha afya kilichokuwa kikiendeshwa na Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic, nikasikiliza vizuri nikagundua kile alichokuwa akizungumzia kilikuwa kikinigusa nikaona ngoja nikafike, maana alieleza anapopatikana, kiukweli baada ya kufika pale sikuamini, nilipimwa nikaona mwili mzima wangu wote kwa yale yaliykokuwa yakinisumbua. Nilifurahi sana na huduma yao, kwani hata hospitali za kawaida walinieleza hay ohayo ila wao walinipima kwa kutoboa damu yangu, ila The Fadhaget Sanitarium Clinic walinipima kwa kutumia kompyuta kwa picha bila choo wala mkojo wala damu. Kama ni uvimbe niliona kwa picha utumbo, figo, moyo, mirija ya uzazi, mapafu, maini.

Kwa kweli nilijawa na amani nikawa namuomba Mungu kimoyomoyo basi hata dawa zinifae tu jamani. Mungu ni mwaminifu Dk. Fadhili Emily alinishari na kunitia moyo akanambia utapona, nikazidi kufarijika.

Hakika ndani ya miezi miwili nikapata UJAUZITO kupitia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic, nilifurahi sana nikashindwa kujizuia naikaamua kufunga safari mpaka ofisi za The Fadhaget Sanitarium Clinic kutoa shukrani zangu.

YALIYONIPATA KATIKA UJAUZITO
Wakati ujauzito wangu umetimia miezi miwili, kuna dalili tofauti nilizihisi chini ya kitovu, nilisikia vichomi, nikaanza kuona damu, miguu ikavimba du!!!!, nikakumbuka Dk. Fadhili Emily alisema nifike hospitali ambayo iko karibu na ninapoishi nikapimwe.

Kwa kweli nilienda katika hospitali za kawaida, majibu niliyopewa kuhusu ujauzito hayaelezeki, niliambiwa ujauzito umetoka, nikaambiwa nisafishwe, kwa weli nilikumbuka kipimo nilichopima kwa Dk. Fadhili Emily, nikakataa kusafishwa nikaenda kwa Dk. Fadhili Emily, akanipima akanambia mimba ipo haijatoka ila mtoto amechoka sana. Alinipa dawa na akanishauri, nikafuatilie ushauri wake.  Na mpaka sasa hivi nazungumza nina ujauzito wa miezi 8, mimba ipo na mtoto anacheza vizuri.

Ninawashauri akina mama wenzangu kuwa msikate tamaaya maisha, tumehangaika yatosha, nendeni The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Beach Tangibovu utapimwa, utashauriwa vizuri na utatibiwa. Dawa zipo.

ninaitwa Anastazia Malya ni mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam






SALOME FAUSTINE AMSHUKURU DK. FADHILI EMILY KWA KUPATA MTOTO BAADA YA KUPONA UVIMBE KATIKA UZAZI

Salome Faustine ambaye alikuwa na tatizo la kupata mimba kutokana na uvimbe katika kizazi kwa muda wa miaka 6, baada ya kutumia dawa za The Fadhaget Sanitarium Clinic aliweza kupata mimba na sasa amejifungua mtoto. aliweza kufika ofisi kwetu na kutupongeza kwa huduma zetu.

Faustine akisalimia na baadhi ya wahudumu baada ya kupata ujauzito
 Dk. Fadhili Emily akiwa na mtoto wa faustine baada ya kujifungua. Picha hii ilipigwa kipindi Salome Faustine alitembelea clinick hii kumpongeza Dk. Fadhili Emily kwa sawa yake uliyomponya uvimbe katika kizazi
 Dk  Dk. Fadhili Emily akiwa na Salome Faustine
 Wadumu wakiwa na mtoto wa Salome Faustine



GARI LA DK FADHILI EMILY WA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC LIKIWA LIMETOKA MKOA WA TABORA

Dk. Fadili Emily alifunga safari hadi mkoa wa Tabora kwaajili ya kutafuta dawa mbalimbali. Safari yake ilikuwa ndefu sana kwa lengo la kukusaidia wewe unayesumbuliwa na magonjwa mbalimbali.
Karibu wewe unayesumbuliwa na wewe mwenye mgonjwa upate dawa zenye kuponya.
 gari likiwa katika Makao Makuu ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

 


DADA ALIYETESEKA KWA KANSA YANGOZI KWA MUDA MREFU APONA


Kwa uhakika ugonjwa huu wa ngozi ulinitesa sana zaidi ya mika 7. Nilipelekwa hospitali nyingi bila ya mafanikio na wakajaribu kunipima na ugonjwa haukuweza kuonekana. Baada ya kuona siponi nilienda kwa waganga wa kienyeji au wa jadi bila mafanikio, ilifika hatua nikakata tamaa.

Niliteseka sana ilifika kipindi wadogo zangu na ndugu zangu wakawa wananinyanyua na kuniweka juani na kunigeuza geuza, maana ilifika hatua siwezi kusimama wala kujigeuza kutoka na vidonda vilivyotapakaa katika mwili wangu. Ilifika kipindi inzi wakawa kelo kwangu kwani walikuwa wakinifuata kutokana na harufu mbaya niliyokuwa nayo.

Matumaini ya kupona yakaanza kupotea. Kwahiyo nikwa ni mtu wa kutolewa nje na kulazwa kwenye sponji kasha natandikiwa neti ya mbu (chandarua) mchana kwaajili ya inzi wasiguse mwili wangu. Niliumia sana na hata nikikaa kwenye kiti nje nikawa natundikiwa chandarua.

Baada ya muda baba yangu akasikia Dk. Fadhili Emily wa The Fadhaget sanitarium Clinic  katika kipindi radio ya Praise Power akieleza matibabu ya magonjwa mbalimbali. Baba aliamua kunipeleka katika kituo cha The Fadhaget sanitarium Clinic   Mbezi Beach hapa jijini Dar es Salaam kutibiwa. Baada ya kupata matibabu ni mwezi mmoja tu kilio change kiliweza kunyamazwa na huduma ya Dk. Fadhili Emily, niliweza kupona na sina maumivu yeyote yale.

Kupitia dawa za The Fadhaget sanitarium Clinic   nimepona, na nimashukuru sana Baba yangu na Dk. Fadhili Emily kwa huduma yao juu ya maisha yangu. Uzalendo ulinishinda kwa kuwa sasa niliweza kumtembelea Dk. Fadhili Emily nyumbani kwake kwa kumshukuru kwa huduma yake, kwani amenitoa mbali

Unaweza kuangali picha zangu hapo chini.


KABLA YA KUPONA

Dada akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi

BAADA YA KUPONA
 Dada aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi akiwa huru na mateso hayo ya ngozi aliyokuwa nayo kwa muda wa zaidi ya miaka 7

Mungu ni mwema

UNAJUA KUWA MAUA YA YERUSALEM NI DAWA?

Tutawaletea faida za kutumia maua ya Yerusalem kama dawa katika mwili wa bindamu. Endelea kutembelea blogu yetu hii kwani utaelimika




Saturday, April 13, 2013

ZIARA YA DK FADHIL EMILY WA SANITARIUM CLINIC JIJINI ARUSHA

Tumefanya ziara fupi jiji la Arusha Tanzania. Watu wamependa huduma zetu, wamepimwa, wametibiwa. Wakazi wa jiji la Arusha wameamua kutupatia nyumba ya kufanyia huduma zetu na hatutakuwa tukifikia hotelini tena kufanya huduma zetu kama mwanzo tulivyokuwa tukifanya.

Kuanzia tarehe 01 Mei 2013 huduma ya The Fadhaget Sanitarium Clinic itapatikana jijini Arusha katika mtaa wa Stand Ndogo, karibu na geti la nyuma la kuingilia la hospitali ya Seliani. Utaona bango kubwa sana limeandikwa THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu
+255 712 705158
+255 757 931376
+255 787 705158
+255 787 505158

ANGALIA ZIARA YETU KATIKA PICHA

 Dk. Fadhil Emily akiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha maeneo ya Stand Ndogo Arusha
Dk Fadhili Emily akihudumiwa na mhudumu wa hotel ya AM Arusha
   Dk. Fadhil Emily na mhudumu wa hoteli ya AM wakionyesheana meseji juu ya wagonjwa walivyofurahia huduma ya Dk Fadhili Emily

 Msaidizi wa Dk Fadhili Emily, bwana Tryphone Kagoma akihudumiwa chakula na mhudumu wa hotel ya AM-Arusha

 Eneo la Arusha







Monday, November 19, 2012

AFRED NA SALOME WAISHUKURU FADHAGET SANITARIUM CLINIC KWA KUPATA UPONYAJI


ALFRED APONA KATIKA CLINIC YA FADHAGET SANITARIUM ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, BAADA YA HOSPITALI ZINGINE KUSHINDWA KUMTIBU MAGONJWA YALIYOMSABABISHIA KUTOTEMBEA KWA MUDA MREFU.

Bwana Afred atoa ushuhuda wake bada ya kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu, na haya ndiyo aliyoyasema:

ALFRED


Nachukua nafasi hii kuwashukuru FADHAGET SANITARIUM CLINIC MBEZI BEACH DAR ES SALAAM kwasababu nilikotoka Mungu anajua, wakati nikiwafikia FADHAGET nilikuwa na vyeti vya hospitali visivyopungua kumi na tano (15). Hospitali ya mwisho niliyoenda ya Bweni kwa Masister iliyoko Kinondoni jijini Dar es Salaam, na baada ya kupima halikuonekana tatizo lolote katika mashine zao, hapo ndipo  wakanipatia namba za Dr. Fadhili Emily  wa Fadhaget Sanitarium Clinic na waliniambia ana kipimo cha kompyuta ambacho kinaangalia mwili mzima. Nilipofika kwa kweli nilifanikiwa kuonana na Dr. Fadhili Emily mwenyewe nikiwa siwezi kutembea nilikuwa nikikokotwa na rafiki yangu ambaye kwa kweli namwita rafiki wa kweli kwani amenivumilia kwa muda wotewa mahangaiko yangu yapata miaka 4 ya kuumwa na kwa hali niliyokuwa nayo, mke wangu alinisaidia mpaka akachoka na ilifika hatua akatoroka nyumbani hali akijua mie wakufa.

Mimi ni baba wa watoto wawili (2), mke wangu aliondoka nao nisikokujua, lakini namshukuru Mungu nimetumia dawa za Dr. Fadhili Emily nimepona. Nilikuwa na magonjwa nisiyo yajua zaidi ya dalili tu. Nashukuru baada ya kufika kwa Dr. Fadhili Emily nilifafanuliwa zile dalili zote na wamefanikiwa kuniponyesha.
Alfred akiwa katika clinic za Fadhaget Sanitarium Mbezi Beach

1. Dalili nazozungumzia ni:
2. Kukojo nyano iliyochanganyika na damu
3. Kuchoka mara kwa mara
4. Kizunguzungu
5. Macho ya njano
6. Miguu kuvimba
7. Upungufu wa nguvu za kiume
8. Kutopata choo kabisa
9. Homa kali na kutetemeka
10. Kiu ya maji isiyoisha
11. Kuvimba kwa tumbo

Jamani sina la kusema na sina cha kuwalipa ila Mungu awabariki sana.

Dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic ni za uhakika, na ambaye hajaamini basi ni imani yake…

By Afred

Ubarikiwe Mr. Afred nasi tunakutakia maisha mwma, marefu na afya njema…..

By Dr. Fadhili Emily



SALOME APONA FIBROID (UVIMBE WA KIZAZI) BAADA YA KUPATA HUDUMA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC DAR ES SALAAM TANZANIA

Salome Faustini alishangazwa na huduma ya Fadhaget Sanitarium Clinic baada ya kujipatia uponyaji kwa kutumia dawa za Fadhaget Sanitarium Clinic. Na haya yalitoka kinywani kwake kuwashukuru wahudumu na Dr. Fadhili Emily kwa msaada wake.


SALOME FAUSTINI

Nashukuru sana kupitia The Fadhaget Sanitarium Clinic iliyopo Mbezi Beach, nimepona FIBROID (uvimbe wa kizazi) ambao kwa kweli nilikaa nao kwa muda mrefu sana bila kujua na  zilinisababishia kuishi na mume wangu miaka 6 bila kushika ujauzito, lakini nilipofika hospitali ya The Fadhaget Sanitarium Clinic, ndipo wakanifafanulia kuwa ni uvime wa kuziba kwa kuwa ni uvime wa kuziba kwa mrija ya uzazi. Nimetumia dawa miezi miwili na huu ni mwezi wa  sita (6) hali ndo kama hii unayoiona, ujauzito wa miezi 4.
Wahudumu wa Fadhaget wakimpongeza Salome Faustine (kushoto) baada ya kupona.

Nina amani sana moyoni. Nawashukuru sana The Fadhaget Sanitarium Clinic kwa dawa zao za uhakika.

By Salome Faustini

Ubarikiwe dada Solome na sis tunafurahia hali yako hiyo na Mungu tunakuomba akupe watoto kadili ya hitaji lako.

Dr, Fadhili Emily wa Fadhaget Sanitarium Clinic