Baada ya mchakato wa takribani miezi miwili ya kuandaa wimbo unaoelezea
janga la Ebola, hatimaye mwalimu maaarufu wa muziki wa injili Afrika
mashariki akishirikiana na waimbaji mbalimbali amekalisha wimbo huo na
kuanza kuhusambaza katika vyombo mbalimbali vya habari.
Wimbo huo unaelezea chanzo cha gonjwa la Ebola, namna unavyoenea, na jinsi ya kujikinga. Imechukua muda kidogo kuandaa wimbo huo, kwani ilihitajika ushirikishwaji wa baadhi ya madaktari na watafiti wa gonjwa hilo. Hata hivyo baada ya kupokelewa ofisi hizo za kituo cha kimataifa cha BBC, John Amepongezwa kwa kuwa msanii wa kwanza duniani kujitolea kurekodi wimbo wa Janga hilo lililogusa dunia.
Pamoja na wimbo wa janga la Ebola, pia John amekabidhi wimbo unaotetea haki za watoto na wanawake. Mmoja kati ya maripota wa bbc bwana John Solombi, ameweza kufanya mahojiano ya kina na John Shabani na kuahidi kupanga muda mzuri zaidi wa mahojiano.
Kwa pamoja tuseme hapana kwa Ebola.
John Shabani akifanya mahojiano na mtangazaji wa bbc, bwana John Solombi
John shabani akikabidhi CD

0 comments:
Post a Comment